Mabinti wanadhani mimi ni mchaga

ebu jirekodi then ututumie sauti yako itakuwa na lafuthi ya kichaga
 
Je unapenda kusikiliza Reggae? Je hupendi kuhonga? Je unavaa Safari boot, moka na savco? Kama jibu ni ndiyo kwa swali lolote ujue ndio sababu. Chagga dudes dont entertain bs, kwa hili nawaheshimu.
 
wengi wao hawaja................... na hawajui mapenzi,wapo busy na kusaka hela tuu
 
We waambie ni mangi wa sumbawanga na huna bastola.

Yule mushi wa ufoo sara na munishi wa pale wamewaharibia sana !

Ila kina mangi ni kiboko ya vicheche na vya mizinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…