Pamoja na hali ngumu ya maisha wazazi wanatakiwa kutoa malezi bora kwa watoto wao. Ni familia ngapi masikini lakini watoto wanaishi maisha yenye ubinadamu. Tatizo ni kwamba watoto wengi wamekuja duniani kama zao la ngono zembe hivyo wazazi hasa wanaume hawawatambui kama watoto wao japo wanawafahamu na hivyo kuwaacha wawe watoto wanaozurura. Cha kushangaza ni kwamba watoto hao ambao huonekana kuwa c chochote mbele ya wanajamii ndio huchukuliwa na wanaume wenye akili timamu japo hawana maadili ya utu.
Hao dawa yao ni wanaume wenyewe wajiorganise waweke mgomo wa ''hakuna kununua changudoa wa aina yoyote ile''
wakiona wamekosa wateja wataacha kujisellisha na watabuni biashara nyingine!
Hili ni moja ya swala linalonifanya kutooa....sio kwamba nina chuki na marriage..No,i respect Ndoa ila nafahamu sitakuwa na moyo wa kuvumilia kuona mtoto wangu anaharibika....kama thread kama hii imeniumiza moyo kiasi hiki....ndo ije kuwa wangu??? couples...i wish you the best in raising your kids.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.