Mabinti wa kitanga

Kweli kabxa......usiombe ukawa n beki 3 mtanga kama unamke unaweza muacha
 
kweli aisee, watu wengi nimewasikia wakisema hivyo!
 
Haya mambo ya kuweka kategories kimakabila kumbe bado yapo? Mimi nilijua mapenzi na tabia ni mtu binafsi.
 
Ni mabint wa Kisambaa peke yao. Makabila mengine hasa wa town hamna kitu katika kufanya kazi ila mabingwa wa mapenzi.

Huku wanafurahia mapenzi ya kisasa wenyewe wanayaita. Wanapiga na kuzunguka kupiga.
 
Namba 3, nakupinga mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…