Mabinti wa kitanga

namba mbili na kataa -mnisameh mama zangu toka tanga damu yangu ila kwa uaminifu c tanga-uaminifu kwenye swala zima ka mapenzi ni kipaji cha kipekee,
 
Karibu tanga
 
mabinti wa kitanga na unguja mi sipendekezi kbs kuwaoa kwa ajili ya afya ya moyo! mabinti watokao maeneo haya hawajui neno samahani, chunguza kdg utakubali. mabinti hawa kwao kuolewa na kuachwa ni kawaida saana! wazanzibari ndo wanaongoza kuwa na wajane wengi. unakuta mtu anamiaka 20 tu eti ni mjane! kaachwa na sio kesi, kijana wa kiume miaka 26 ameshaoa na kuacha hata zaidi ya mara mbili. kule mila za kiarabu ndo zilishika hatamu kuoana na kuachana kwao wameshazoea, wewe tu ndo itabidi uvumilie. nilikuwa nae mzanzibar mwanzoni, baadae nikawa na mtanga wa mikanjuni, am3nishinda! sina ham nao bora nitafute humuhumu jf. KWA MSICHANA ALIETAYARI KUWA NA MUME ani pm. dini sio tatizo umri aszidi 26yrs
 
Sawa mkuu! Niunganishie mmoja nami ni enjoy mahabati ya Tanga.
 
Aisee labda huyo ameishi mjin wa huku hata kama hauja mkosea anakuomba msamaha wananyenyekea sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia mgeni ukienda, ukikaribia mda wa kuondoka nguo zinalowekwa kwenye maji ili usiondoke!
 
Wew tu karibu cc shunie emmyta lady Aj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…