Mabinti wa kileo

Hawa ni wale ambao hela wamezijua ukubwani. Ulimbukeni tu.
 
Kuanza na mtu sio guarantee. ..

Tena wanaume wakishapata wake zao walioanza nao wanawaona washamba ...

Hapo ndio wanakuwa hawana quality

Hapo ndio anapojua kutembeza kifanyio chake

Wengine wanaleta dharau matusi




 

Word!, true!
 
kwa hiyo mwenye pesa akinitongoza nikatae hata kama na mimi nimempenda?

halafu nisubiri aje masikini mwenzangu wa kutafuta nae! duuh
 
Izi kauli za asiye nacho leo kesho atakuwa nacho ndo za kiasikini. Some people die as broke as f**k. While others are rich forever.
 
unjitetea tu naonaunachotakiwa hapo zisake pesa mkuu. Acha zako za kale kwamba alieko juu mngoje chini siku hz hawashuki. ucyegemee mwenye nazo atafulia sahau
.........
 
Wanao anzia chini nakubadilika niwachache sana kwenye msafara wa mamba hakosekani kenge....ila nivizuri kuanza kujenga maisha mkiwa wawili.

Talaka inaweza kutokea pande zote mbili mlietafuta nae pia uliemkuta nazo. Angalia matokeo, mlie tafuta nae hakuna mali wala kitega uchumi hukijui mkitalakiana mnagawana mali nusu kwa nusu. Mbali nakuonganishwa na ndoa pia mali zinawaonganisha


Turudi upande mwingine ukipigwa talaka unaondoka na lile begi lako ulilo kuja nalo hata hukuwa na akili ya kununua lingine.
 

Issue huwa inakuja kwa wale wabwetekaji waliokaa kukodolea mali za mume. Yaani unakuta hamna hata property moja yenye jina lake ila kauweka tu amesahau kuwa vyote alivikuta na hivyo anahitaji kujibidiisha walau efforts zake zionekana kwa sababu fursa teyari anayo na hajui mumewe kwenye wosia kaandika nini.

Unakuta mtu karidhiiikaaa na anajifariji kuwa upon divorce lazima watoke pasu na mumewe sijui huwa hawatambui kuwa sheria inazitambua personal/private property/properties acquired by a person (spouse) before marriage ukiachana na matrimonial ones ambazo zimekuwa jointly acquied by the spouses. Hawa imekula kwao labda wabahatishe ile rule ya kwamba domestic works zilizofanywa na mke nazo zihesabike kusudi wasitoke kapa.
 
Kuanza na mtu sio guarantee. ..

Tena wanaume wakishapata wake zao walioanza nao wanawaona washamba ...

Hapo ndio wanakuwa hawana quality

Hapo ndio anapojua kutembeza kifanyio chake

Wengine wanaleta dharau matusi

Na ndo wengi wanaiogopa hii.
 
Kuanza na mtu sio guarantee. ..

Tena wanaume wakishapata wake zao walioanza nao wanawaona washamba ...

Hapo ndio wanakuwa hawana quality

Hapo ndio anapojua kutembeza kifanyio chake

Wengine wanaleta dharau matusi

Na ndo wengi wanaiogopa hii.
 
Kuanza na mtu sio guarantee. ..

Tena wanaume wakishapata wake zao walioanza nao wanawaona washamba ...

Hapo ndio wanakuwa hawana quality

Hapo ndio anapojua kutembeza kifanyio chake

Wengine wanaleta dharau matusi

Na mwanamke akipata je? Kwa sababu inawezekana pia mwanaume ukawa na kipato cha kawaida sn au kuachishwa kazi na mwanamke akapata mchongo wa maana.


Sent from my iPad using JamiiForums app
 
Mkuu ushauri wako mzuri lakini kwa humu sio mahala pake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…