mgoli magombe
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 121
- 27
Mabinti Wa kileo hawajitambui kabisa eti utakuta binti anampenda MTU mwenye pesa na anafikia hata hatua ya kuwa anamhonga ili tu jamaa ampende, hivi nyinyi mabinti hivi unataka mwanaume mwenye gari, nyumba nzuri, viwanja hivi mnajua kavipateje? Pia mnajua ni mabinti wangapi wazuri na warembo wanavitamani vitu hivyo?. Binafsi na washauri mtafute wanaume ambao mtatafuta nao hivyo vitu. Asiye nacho Leo ni mwenyenacho Wa kesho na aliye nacho Leo ni asiye nacho Wa kesho.
Sababu ni hii.......
aisee,kazi ipo
sasa ya nini kuwashitua....?
Some Men are visionary and forever richMabinti Wa kileo hawajitambui kabisa eti utakuta binti anampenda mtu mwenye pesa na anafikia hata hatua ya kuwa anamhonga ili tu jamaa ampende, hivi nyinyi mabinti hivi unataka mwanaume mwenye gari, nyumba nzuri, viwanja hivi mnajua kavipateje?
Pia mnajua ni mabinti wangapi wazuri na warembo wanavitamani vitu hivyo?
Binafsi na washauri mtafute wanaume ambao mtatafuta nao hivyo vitu.
Asiye nacho leo ni mwenyenacho wa kesho na aliye nacho leo ni asiye nacho wa kesho.
You can say that again...Some Men are visionary and forever rich
ha ha ha surewanakwambia bora machozi yakutoke kwenye range kuliko kwenye chumba cha uswazi niamini mimi
I saw one of my family friend from Northern, though he was born a Christian and in the past he used to be a preacher for quite sometimes, before embarked in local beverage business. After so many years of hustling with his beloved wife, he turned out to be a rich. Then he changed, he even look his wife as not as beautiful as she was in the first sight. He added more women. To solve the conflict with his wife - he built two new house for the new women, who had no idea where this man came from with his wife. He even planned to divorce his original wife, the one he shared a roller coaster'life .Usiusemee moyo.
Mtu unaweza kuanza naye maisha ya chini lakini akisha/mkishazipata na jeuri inaanza wanawake sana, kuhonga kwa kwenda mbele na ikibidi anakuolea mke mwingine au anahamishia makazi/huduma kwa kimada we unabaki kuumia tu na wanao nyumbani! Loh..!!!!
Kiufupi haya mambo hayatabiriki wala hayana formular.....kwahivo ni bora mtu akachagua side ambayo yuko comfortable nayo.
mkuu wala usiwashtue we waache tuendelee kuwatafuna tu...