Mabinti wa Kiisrael(Wayahudi) wanavutia sana

DU MAYAHUDI KUNA MLONDI ? VI BASHITE UUTAWAJUA TU..HAO WAZUNGU MAZAYUNI..
 
Wakuu! Nilichokigundua na kisichojulikana sana ni uzuri wa hawa warembo wakiyahudi aisee, sio maarufu sana lakini inawezekana kundi hili likawa katika nafasi ya juu sana duniani kwa mvuto.

Na moja ya sifa kubwa walionayo ni kupenda familia.
Na sio wavaa mahijabu.

a58a77cfd379375915c67718b4149621.jpg


031cf7b7d9d7f60cc56c9ad0ccbff944.jpg


2b570fee3651e7183d23e2cb9a16dcd9.jpg


efa1d407e5a18c1210513fd1cc6b3a9d.jpg
Mbona hakuna mzuri apo?
 
Wanamchoa wenyewe tena Bikra Maria anavaa hijabu, leo anakuja anakebehi Hijabu. Hawa kweli hawajielewi! :D
Hili tahira kweli !! Kwann hijabu Na kitambaa cha kujitanda kichwan n sawa !! Ile cyo mahijabu n utamadun wa wayahudi
 
ni wachache sana, ungesema latinos na russian hapo ningesema sawa, manake waebrania hawa bakora ikimkatama sawa sawa mbona kikwao anaongea, manake kimekaa kama kiarabu dadadeqi, utasikia aah beseeede!!! wanaojua kiebrania wanaelewa maana yake
 
Mabinti wa Kipare Ni Walembo Zaid Dunian
Thubutuuu nakufa apa apa.
Hakuna Myahudi wa Asili wenye Blonde hair na blue eyes ww umeleta picha za wazungu wanaojiita Wayahudi

Pia kama ujui Asili zipo nne
1 Caucasian races(Europeans)
2 Mongolian races (Chinese , Koreans, Japanese )
3 Semitic races (Arabs Indian Jewish)
4 Negroid races(all blacks people)
Hizi ndizo jamii kamili za binadamu pia kuna jamii nyingine tofauti ambayo wapo wengi sana jamii hii inatambulika kama
Mixed race (chotara)
jamii hii watu wengi wanajua ni muunganiko wa mweusi na mweupe ndio wanaitwa mixed lakini si lazima hwe hvyo mixed anaweza kuwa mchina na mjapani au mwarabu na mzungu so mtoto atakaye toka hapo atakuwa mweupe pee
Sasa hoja hapa ni Mzungu ni nani?
Mzungu pure wanasema lazima kuwa na Kigezo kimoja kati ya 2
1 Blonde hair
2 Blue eyes
Mtu anaweza kusema wazungu ni watu wengi Asili ya Ulaya lakini wazungu wenyewe wanasema Spanish, Turkey, Italy, Greece si wazungu pure ni mixed race na Nchi nying sana ni kutoka jamii hii ya Mixed race ( chotara )
Wanasema wazungu pure ni Germany, Denmark, Sweden, Russian, Poland ,Ukraine etc
Blonde hair ndio kigezo kikubwa kwani wanasema katika jamii zote 4 Blonde hair zipo kwao tu ndo maana ni vigumu kumkuta mchina au mkorea wanablonde au kukita Negro ana blonde
Blonde hair unakuja kuzikuta kwa baadhi ya Waisrael ndio maana kuna msemo wanasema Waisrael wa sasa si wale wa enzi za Yesu,Musa hawa ni mchanganyiko wa Waisrael pure na mizungu
Ukiangalia wengi walikuwa Germany na Russia , Poland kule kwenye wazungu pure
 
Mtoa mada hawa wanawake ni wazuri wasura ila shida yao ilianza hapa😂🤣😁🤣😂🤣🤣🤣😂😂😂
 
Back
Top Bottom