Mabinti wa Kichaga ni multipurpose aisee, nawazimia bure

Mabinti wa Kichaga ni multipurpose aisee, nawazimia bure

Ukija mshepu,rangi na sura A,upstair (brains) wametulia,mambo ya kusoma na kuzisaka usiseme,yani kwa maisha haya ya kibongo jinsi yalivyokua magumu sioni sababu ya kutokua na mchaga mpigane tafu, Malezi ya watoto wako fit hata wengi wao ukiwatokea wako focused sana na maisha ya future na malengo kutokana na hili sio wapigaji mizinga sana.

Najua kuna vijana wanawasema sana ooh kitandani F etc etc kwa sifa hizo hapo juu mmeweza ku surpass ubovu huo usionekana,maisha sio kitandani halafu hayo mambo mnaweza fundishana tu so msiwasikilize ,endeleeni kukaza boot.

Hata mwenyewe hapa najiona kabisa nitaoa Mchanga cos kila nikitongoza hata bila kuuliza kabila najikuta nimeangukia Kilimanjaro aisee big u Chaga girls you are my Fantasy You rock My world chagaland am proud to be a Tanzanian.

Namalizia hivi mke wa kichaga ni Asset na sio liability

Mapenzi tele kwako pia my dear.
 
Teh teh teeeeeeh!!!
Wanawake wa kichaga wako njema, ila wanaume daaah hapana kwakweli.

Common Atoto .....
Mwanaume wa kichaga ana pesa buanaaa hutakufa masikini shauri yako
Mjini ndo kimbilio la wadada
Mwangalie flaviana matata
Mke wa Reg mengi
Shauri yakooooooooooo ohoooooooo
 
Common Atoto .....
Mwanaume wa kichaga ana pesa buanaaa hutakufa masikini shauri yako
Mjini ndo kimbilio la wadada
Mwangalie flaviana matata
Mke wa Reg mengi
Shauri yakooooooooooo ohoooooooo


Kama ana pesa kama Mengi, walaaaaa sina hiyana mie, ila ndio hawa kajamba nani ni big NO, sasa pesa huna,mapenzi pia hujui nakuwa na wewe wa mfano au??
 
Ukilipa kabila kipaumbele ukashindwa kuangalia vipaumbele vngne vya msingi unapotea mnooo..
Siku izi watu wanazaliwa mjini so ukabila hauna nguvu kiivo.. awe mchaga au mzaramo cha msingi ni anaolewa na mtu anayeendana nae?!?!
 
Yaani huku kila mtu anataka kuoa msichana wa kichaga na sisi tuoe wapi sasa maana hatujazoea kuoa nje ya uchagani hebu waacheni wasichana wetu bwana tunaweza kuishi nao sisi tu ala ooo wachapa kazi sasa unafikiri walifundishwa na nani? Baba mama zao hawakuwadekeza ndio maana hakuna tofauti kati ya msichana na mvulana wa kichaga akili zao zimetofautiana kidogo sana

Na wewe akili yako kama ya msichana???
 
Tatizo la wanawake wa kichaga ni UBABE kwa Waume zao na Kujali pesa kuliko UTU. Jiulize kwanini Wanaume wao hatuoi uchagani? Asilimia kubwa ya wanaume wa kichaga wanaoa makabila mengine na si wachaga, Chunguza.

'Unlike charges attract each other, while like charges will REPEL. Hamuoani wachaga kwa wachaga kwa kuwa mnakinzana
 
Ukioa mchaga hawahamii ukoo mzima kwako,hii nikutokana na ukweli kuwa wenyewe wanajituma hakuna utegemezi sana katika familia.Ila makabila mengine unaoa leo kesho familia nzima inahamia kwako na kila mtu na lundo la shida.Wengine umri wa kujitegemea lakini wapo tu,kisa dada yangu kaolewa na mtu mwenye nafuu ya maisha.Aisee shida kama hizi kwa wachaga hamna kila mtu ni fighter.Nawazimia hawa mademu wa kichaga japo siku zote kizuri hakikosi kasoro.
 
Ukilipa kabila kipaumbele ukashindwa kuangalia vipaumbele vngne vya msingi unapotea mnooo..
Siku izi watu wanazaliwa mjini so ukabila hauna nguvu kiivo.. awe mchaga au mzaramo cha msingi ni anaolewa na mtu anayeendana nae?!?!

Ufyudhi wenye harufu nzuri, salute mkuu, ushakunywa supu kwa mama bhoke nije nilipe?
 
Je wanyaturu ndo wabaya kabisa wakiona utajiri tu mume lazima afe duuuh ni sheedah
 
Back
Top Bottom