Mabinti wa Kichaga ni multipurpose aisee, nawazimia bure

Kati ya harusi 10 zinazofanyika apa mjini,6 anayeolewa n mchagga...Kwa maisha haya wachagga are the best to marry....huo ndo ukwi,kama hutaki bas oa magolikipa ya kizaramo ndo utajua

Mkuu waambie hao ,ukitaka kuoa nenda uchagani
 
wachaga waacheni kama walivyo wanadatisha sana ila ukifikiria katika ndoa wengi watatoa ushuhuda waliyofanyiwa na bint za chagga inakatisha tamaa
 
Hao watu hata wao wenyewe tu wanaogopana na kubaguana...utadikia mara oooh me siwezi kuoa mchaga was machame...sijui rombo...mnajuana wenyewe bhana...me hata nizungukwe na vifaru vya jeshi sitaoa mchaga aiseee....hao watu moto Wa mabua tu.
 
Ukija mshepu.,rangi.na sura A ,upstair (brains) wametulia...,mambo ya kusoma na kuzisaka usiseme....,yani kwa maisha haya ya kibongo jinsi yalivyokua magumu sioni sababu ya kutokua na mchaga mpigane tafu, Malezi ya watoto wako fit .,..hata wengi wao ukiwatokea wako focused sana na maisha ya future na malengo kutokana na hili sio wapigaji mizinga sana
Najua kuna vijana wanawasema sana ooh kitandani F etc etc kwa sifa hizo hapo juu mmeweza ku surpass ubovu huo usionekana ,maisha sio kitandani halafu hayo mambo mnaweza fundishana tu so msiwasikilize ,endeleeni kukaza boot
Hata mwenyewe hapa najiona kabisa nitaoa mchanga cos kila nikitongoza hata bila kuuliza kabila najikuta nimeangukia Kilimanjaro aisee big u chaga girls you are my Fantasy You rock My world chagaland am proud to be a Tanzanian

Umeshahau pia... wanake wa kichaga matajiri wengi wao 98% waume zao wamekufa na ambao waume hawajafa basii mwanamke ndio mwenye sauti ya juu kuliko mume na mume ndio huwa anajishushaa hata kama kosa hakufanya maana mke atagooombaaa mbele ya watoto nk na hapo mwanamke haaaana mudaa wa kusema atamuhudumi mume sijui apike?afanye usafi chumbani kwao au kumfullia mume aiseee hiyo hakunaga kwao hayo majukumu mume unafanya mwenyewee ikibidi mke mwanaume ndio anamuhudumia! Ukute mwanamke ni bogaaas limbukeni kama mama Mecy Mduma mwenye duka 2ya nguo stand ndogo yeuwiiii hata kwao wala nduguze hana pia muda nao hata afiwe kwao anaenda siku hiyo ya mazishi na alaliii anadai anamambo mengii wkt tunaomjuaaa aisee hana loloteee ni ulimbukeni kwa kuona hivi hapa nalalaje pakoje wkt ndipo palipomlea na uwezo wa kupabadilisha anao.
 
Tatizo kitandani hawapo vyema nilishajaribu kama 7 nikaona wapo ovyo
 
Hahaha
 
Tatizo unachukua straight from kijijini. Siku hizi mwanamke wa kichaga akiwa gogo kitandani basi ametaka mwenyewe. Elimu ya kujua kufanya mapenzi ipo nje nje....internet Ina kila kitu. Pia tunafundwa na makungwi wa kizaramo wapo kibao. So mwanamke wa kichaga ukiwa hujiwezi kabisa kitandani utakuwa Una matatizo.
 
Kweli kabisa mrembo mueleze,hivi wewe ni mchaga eeh?
 
Umeshahau pia... wanake wa kichaga matajiri wengi wao 98% waume zao wamekufa na ambao waume hawajafa basii mwanamke ndio mwenye sauti ya juu kuliko mume na mume ndio huwa anajishushaa hata kama kosa hakufanya maana mke atagooombaaa mbele ya watoto nk na hapo mwanamke haaaana mudaa wa kusema atamuhudumi mume sijui apike?afanye usafi chumbani kwao au kumfullia mume aiseee hiyo hakunaga kwao hayo majukumu mume unafanya mwenyewee ikibidi mke mwanaume ndio anamuhudumia! Ukute mwanamke ni bogaaas limbukeni kama mama Mecy Mduma mwenye duka 2ya nguo stand ndogo yeuwiiii hata kwao wala nduguze hana pia muda nao hata afiwe kwao anaenda siku hiyo ya mazishi na alaliii anadai anamambo mengii wkt tunaomjuaaa aisee hana loloteee ni ulimbukeni kwa kuona hivi hapa nalalaje pakoje wkt ndipo palipomlea na uwezo wa kupabadilisha anao.

No body is perfect buddy
 
Back
Top Bottom