Mabinti wa Kichaga ni multipurpose aisee, nawazimia bure

Yaani huku kila mtu anataka kuoa msichana wa kichaga na sisi tuoe wapi sasa maana hatujazoea kuoa nje ya uchagani hebu waacheni wasichana wetu bwana tunaweza kuishi nao sisi tu ala ooo wachapa kazi sasa unafikiri walifundishwa na nani? Baba mama zao hawakuwadekeza ndio maana hakuna tofauti kati ya msichana na mvulana wa kichaga akili zao zimetofautiana kidogo sana
 
Hahaha...eti Wana shepu halafu hawajui kupiga mizinga...mtoa mada wewe ni wa wapi?

Hapo kwenye shepu hata mi nimemshangaa huyu jamaa au anamakengeza? Kwa shape chaga ni F ila sura zao A.

Hawa ni Dada zangu ila sitaoa, pamoja na kujua kutafuta lakini asilimia kubwa huwa wanapenda kumcontrol mwanaume, na wanakuaga na power ajabu na niwajuaji sana hasira nyingi. pamoja na yote ni wapiganaji wazuri katika maisha si magolikipa ndo uzuri wao pekee vingine chumvi.
 
Tatizo unachukua straight from kijijini. Siku hizi mwanamke wa kichaga akiwa gogo kitandani basi ametaka mwenyewe. Elimu ya kujua kufanya mapenzi ipo nje nje....internet Ina kila kitu. Pia tunafundwa na makungwi wa kizaramo wapo kibao. So mwanamke wa kichaga ukiwa hujiwezi kabisa kitandani utakuwa Una matatizo.

Tatizo la wanawake wa kichaga ni UBABE kwa Waume zao na Kujali pesa kuliko UTU. Jiulize kwanini Wanaume wao hatuoi uchagani? Asilimia kubwa ya wanaume wa kichaga wanaoa makabila mengine na si wachaga, Chunguza.
 
Hilo la ubabe mtajua wenyewe waoji. Sijafanya research kuhusu hilo.
 
Naona wachaga mnajitangaza ...mtoa maada umelipia lakini hilo tangazo
 
Hapo kwenye shepu hata mi nimemshangaa huyu jamaa au anamakengeza? Kwa shape chaga ni F ila sura zao A.

Hawa ni Dada zangu ila sitaoa, pamoja na kujua kutafuta lakini asilimia kubwa huwa wanapenda kumcontrol mwanaume, na wanakuaga na power ajabu na niwajuaji sana hasira nyingi. pamoja na yote ni wapiganaji wazuri katika maisha si magolikipa ndo uzuri wao pekee vingine chumvi.

Yaani mkuu hapo ndio umeongelea sifa zao halisi.
 
mwekundu

Acha ulimbukeni wachaga kitabia wako hovyo maumbo yao kama kabati na mapenzi ndio zero kbs..magogo kitandani.
 
Last edited by a moderator:
Ukihitaji kufa mapema oa mchagga!
Achana na ile kukuua kwa zana yoyote,huwa wananyodo sana ukiyumba
 
Tatizo unachukua straight from kijijini. Siku hizi mwanamke wa kichaga akiwa gogo kitandani basi ametaka mwenyewe. Elimu ya kujua kufanya mapenzi ipo nje nje....internet Ina kila kitu. Pia tunafundwa na makungwi wa kizaramo wapo kibao. So mwanamke wa kichaga ukiwa hujiwezi kabisa kitandani utakuwa Una matatizo.

Tatty hebu njoo kwangu nipate ukweli. Na mie nipo kwenye mchakato wa kuhamia Kilimanjaro for good!
 
Acha ulimbukeni wachaga kitabia wako hovyo maumbo yao kama kabati na mapenzi ndio zero kbs..magogo kitandani.

Wewe umekarir maisha hiyo ilikuwa enz zilee za mwalimu watu wapo digital we unaongelea analog wachaga wapo vizur
 
Back
Top Bottom