Sio kweli. acha uongo
Uongo upi?
Sio kweli. acha uongo
ha ha a jaribu uoneNitabisha Mpaka Mbele Ya Mungu Kuhusu Hili
acha hizo wewe unaongea uongoHapo kwenye shepu hata mi nimemshangaa huyu jamaa au anamakengeza? Kwa shape chaga ni F ila sura zao A.
tunazo shepu nzuri tu
Hawa ni Dada zangu ila sitaoa, pamoja na kujua kutafuta lakini asilimia kubwa huwa wanapenda kumcontrol mwanaume, na wanakuaga na power ajabu na niwajuaji sana hasira nyingi. pamoja na yote ni wapiganaji wazuri katika maisha si magolikipa ndo uzuri wao pekee vingine chumvi.
ha ha haha kama unachuki nao vile?mwekundu
Acha ulimbukeni wachaga kitabia wako hovyo maumbo yao kama kabati na mapenzi ndio zero kbs..magogo kitandani.
Hao watu hata wao wenyewe tu wanaogopana na kubaguana...utadikia mara oooh me siwezi kuoa mchaga was machame...sijui rombo...mnajuana wenyewe bhana...me hata nizungukwe na vifaru vya jeshi sitaoa mchaga aiseee....hao watu moto Wa mabua tu.
na mimi ndiyo nawafaa wanaume wote wenye pesaMchaga mzuri niliyewahi kumjua (kiundani) asiye na Kiburi na Ubabe kwa wanaume ni miss chagga tu,
:sad::sad: mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuumfyuuuuuuuuu
Ukija mshepu,rangi na sura A,upstair (brains) wametulia,mambo ya kusoma na kuzisaka usiseme,yani kwa maisha haya ya kibongo jinsi yalivyokua magumu sioni sababu ya kutokua na mchaga mpigane tafu, Malezi ya watoto wako fit hata wengi wao ukiwatokea wako focused sana na maisha ya future na malengo kutokana na hili sio wapigaji mizinga sana.
Najua kuna vijana wanawasema sana ooh kitandani F etc etc kwa sifa hizo hapo juu mmeweza ku surpass ubovu huo usionekana,maisha sio kitandani halafu hayo mambo mnaweza fundishana tu so msiwasikilize ,endeleeni kukaza boot.
Hata mwenyewe hapa najiona kabisa nitaoa Mchanga cos kila nikitongoza hata bila kuuliza kabila najikuta nimeangukia Kilimanjaro aisee big u Chaga girls you are my Fantasy You rock My world chagaland am proud to be a Tanzanian.
Namalizia hivi mke wa kichaga ni Asset na sio liability
na mimi ndiyo nawafaa wanaume wote wenye pesa
Tena wa kishumundu..
Mchaga mzuri niliyewahi kumjua (kiundani) asiye na Kiburi na Ubabe kwa wanaume ni miss chagga tu,
...
Ukute mwanamke ni bogaaas limbukeni kama mama Mecy Mduma mwenye duka 2ya nguo stand ndogo yeuwiiii hata kwao wala nduguze hana pia muda nao ...