babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,328
mie kuna demu nilimtania akajaa 120,sasa kumkata ikawa ugomvi mpaka tukawa tunagombana anakaa siku mbili kimya ya tatu anantafuta maisha yanaendelea
Ujumbe kwa ambao wapo fb utakuwa umewafikia huoni hapo chini amewaita na chaputa wakachangamkie fursa.sasa kama upo fb na unajua hayo mjibu mana kuna wengine hawapo huko
hilo la chini me sjalipatiliza nimepatiliza mengine mkuuUjumbe kwa ambao wapo fb utakuwa umefakia huoni hapo chini amewaita na chaputa wakachangamkie fursa.