Mabinti vyuoni wanachapika sio masihara

Je kwa upande wako marindayako Salama?
 
Duuh hatariii hii.
Mi sijui nilikua na tatizo Gani tangu chekechea shule ya msingi form four advance mpaka diploma ya c o sijawahi lala au tembea na mwanafunzi mwenzangu Huwa najiuliza sana ni ushamba au mtazamo tu wa mtu
 
Huyo kijana smart mtulivu ni kutoka Sayari ya Mars au hapa hapa bingo?

Halafu mbona hata hawa wa kitaa wanachapika sana na wauza simu, Boda boda, Waeka movie na Wauza chips?

Mmezidi kulalamika kuliko wanao liwa yaani, as if mnalipia kodi
 
Consistency is everything, wamechagua umalaya basi sawa haina noma
 
Chuo ni kawaida kuishi unyumba tena demu anafanya majukumu kama mke kabisa kufua kupika na kupiga pasi nguo za jamaa yake 🤣🤣 afu na usikute unapewa penzi kila siku asee chuo raha sana jmn
Kutoka kuwa afisa habari wa jeiefu mpaka uzinzi
 
Mzinzi kazini🤣🤣🚮🚮
 
Huyo kijana smart mtulivu ni kutoka Sayari ya Mars au hapa hapa bingo?

Halafu mbona hata hawa wa kitaa wanachapika sana na wauza simu, Boda boda, Waeka movie na Wauza chips?

Mmezidi kulalamika kuliko wanao liwa yaani, as if mnalipia kodi
UNAHOJA USIKILIZWE

MWISHO WA KUNUKUU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…