Mabinti vyuoni wanachapika sio masihara

unajuaje kama bikra mkuu
Kwani wewe unajuaje kuwa huyu siyo bikira? Si unamchana live kabisa kuwa nikikuta haupo bikira ndoa inaishia hapo

Kwenye mambo kama haya usabato na ulokole uweke pembeni kabisaaa... mshawishi umle kabla ya ndoa japo mimi nilikutana nae kwenye ndoa akiwa bikra
 
sawa sawa mkuu
 
Hata waliopo mitaani na vijijini wanayafanya hayo lakini haisemwi. MWANAMKE/BINTI AOLEWA AKISHA VUNJA UNGO,,,, huko kwingine ni sagurasagura mitumbani nguo nzuri nyingi, mpya chache.
 
Umeongea ukweli Jadda
 
Mwana chuo atoke na konda? Kinyozi? Boda boda?
Hata km ni ugumu wa maisha, he'll no.
Pesa, unawadharau makonda, boda, vinyozi sio hao mzunguko wa hela kwao ni mkubwa na wanapita sana na ke
 
Kipindi nasoma chuo kulikuwa na wale wa kuitwa watoto wa "Mama Salma", ilikuwa ukipiga demu, alafu badae masela wakuambie ni mtoto wa "Mama Salma" unatamani dunia ipasuke, utakosa raha hata miezi mitatu, badae unarudia tena.
 
Vyuo vya juu, kati na chini wanachapika kwa kwenda mbele, ni malaya balaa. Hutaka kujaza pocket money zao, wanapenda hela sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…