MJUE STUNT: Mungu akusaidie usiwe “Stunt”

MJUE STUNT: Mungu akusaidie usiwe “Stunt”

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,058
Reaction score
168,718
1713584975396.jpg


Muigizaji maarufu Anorld Swazenegger akiwa katika picha ya pamoja na stunt man wake. Stunt ni mtu mwenye ufanano anaecheza vipengele hatari kwa niaba ya mhusika mkuu

Hawa ma stunt ni watu wenye uwezo mkubwa kimedani (katika kupambana au kufanya matukio ya kibabe) kuliko waigizaji wakuu

Unaambiwa duniani karibia waigizaji wote wakubwa wana ma stunt wao kasoro Legend Jackie Chen pekee, yeye ndio huwa anacheza mwenyewe matukio yote

Cha kusikitisha ni kwamba hawa ma stunt huwa sio maarufu, wala hawajulikan sana
 
Actor Maafuru Wa movies za The Mummy,George of the jungle (Tarzan) the Whale, jumanji,bwana Brendan Fraser chanzo kikubwa Cha ku ruin career yake ni kwamba alikua haitaji Stunt kwenye scene zake so mpunga wote anapiga yeye, kilichotokea alikua anaumia sana kashavunjika Mara nyingi na kafanyiwa upasuaji zaidi ya Mara 200,..he's finished now
1669906332-brendan-fraser-young-photo-cover.jpg
 
Back
Top Bottom