kuna akina dada wengine wajasilimali sana.wakati wa msimu kwa mfano mpunga,wanahamia vijijini,wanauza naniliu kwa kubadilishana na debe za mpunga.
hadi msimu ukaishe binti ana junia kama 200 za mpunga,akikobolesha hakosi tani 10 hapo za mchele,akiuza hapo hakosi milioni 15...ha ha ha ha.....