Mabinti tabia hii imekaaje?

kama unaona gharama usitongoze.....
Tena unaweza kukuta unam-text binti wa watu mara kumi kwa siku, unategemea aweke mawe kwenye simu ili aweze kukujibu sms zako?
kweli bwana kuna miwanaume inapenda sms sijui ya wapi ? I hate that ?????
 
Umemkuta kapendeza ndio maana ukampenda,
Hapo hela ilitumika,hujui alitetitoa,
Kumbe unataka umtumie alafu akutunzie nani?
Hapo unatakiwa umpendezeshe zaidi ya hapo,na game utapewa bila hata kuomba!
Kwenye upenzi tu bahili hivyo,ukimuoa na kumzoea je,c hata salun atapasikia tu!
Acha ubahili fahari ya mwanamke ni kupendezeshwa na mpenziwe km hujui!
 
Wasanii wanaigiza kaole CD dukani kina dada wanaigiza ulokole miili buchani,Nakubaliana na mdau hapo juu 99% ya mademu(including my sis na demu wangu) wanajiuza tu sema indirectly
 
Umemkuta kapendeza ndio maana ukampenda,
Hapo hela ilitumika,hujui alitetitoa,
Kumbe unataka umtumie alafu akutunzie nani?

Hapo unatakiwa umpendezeshe zaidi ya hapo,na game utapewa bila hata kuomba!
Kwenye upenzi tu bahili hivyo,ukimuoa na kumzoea je,c hata salun atapasikia tu!

Acha ubahili fahari ya mwanamke ni kupendezeshwa na mpenziwe km hujui!
Umemwambia vema, anatakiwa azingatie. Kama hataki asitafute wanaosuka nywele na kujipamba kwa vito vya thamani. Atafute wanaonyoa, na wasiojua kutumia simu, ili wasiombe vocha.
 
Yani unakuta demu umemtongoza tu hata wiki bado,mara anaanza kuomba vocha,mara hela ya kusuka,jamani yani ndio umenikubalia tu na hayo ndo yanaanza? Hii ikoje jamani?

Ndo tatizo la ''mademu'' hilo asiee!!
Achana na mademu tafuta wadada, wasichana, wanawake, mabinti uone kama mambo hayatakua tofauti!
 
Hayo mambo ya kuombana pesa na vitu wakati mahusiano bado machanga ni ufisadi!Ukimuona mpenzi wako ana hizo tabia uje hamna kitu hapo
 
kataa usitoe...............hadi akupe tundi.

Hivi kweli kumpa pesa mpenzi wako ndo mpaka ulale nae? Really?? Kabisa kabisa?? Dah........sipati picha aisee, unamaliza kufanya nae mapenzi then ndo unamkatia pesa!!! Imekuwa ujira? I wonder!!!!!
 
Back
Top Bottom