Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Wadau wa a jf.
Mtakumbuka nilitoa hapa ombi kuwa natafuta binti atakayekuwa kuwa mke wangu, nikasema mimi nina umri wa miaka 28.
Nilipata PM nyingi ila wote ni above 29.
kwa mara nyingine natoa tena nafasi ya mwisho kwa wenye umri wa kuanzia 20-27, awe na kazi i mean awe ameajiriwa, akiwa mwalimu au Nurse ni vizuri zaidi but siyo mandatory.
Awe seriou, mpenda maendeleo na awe anajitambua tu. kwa aliye tayari ni-PM
NOTE;- Awe binti tu siyo mvulana.
Me nipo ila sina kazi
Hehe hivi vigezo mnavyoviweka as if nyinyi wakamilifu,
wanaume kwa ubinafsi!!
we m pm kazi atakupa[/QUOTEMmmmmh ukute ye mwenyewe anatafuta kazi
Hao ulopata umegegeda wote, sasa unataka bach mpya. Duuuuuuu
Hapana mkuu! umenihukumu bure.
Kwa hiyo sie jobless hatutakiwi daah kila mahali tunabaguliwa....
Kwa hiyo sie jobless hatutakiwi daah kila mahali tunabaguliwa....
mbona nasikia unatumikia ndoa ya tatu sasa, au unataka ku-update cv....
Jaribu bahati yako...Dada...usikate tamaa..
Aaah wapi ameshanibagua sitaki
Nimeshaachika mkuu