Mabinti punguzeni kuwaza sana ndoa

We kuna uzi umeufungua unajilaumu kwanini unapata wanaume wa ajabu mwingine leo kakukojolea na kusepa, Wanawake wa kitanzania mkisoma kidogo tu mnataka usalama katika mapenzi ila nyie mkitongozwa mnavuliwa chupi hovyo.
Mkuu taratibu basi ya Kule yaache kule kule...hahah apa nilikua natoa kaushauri tu....nipo apa nasubiria godoro likauke....

am better here
 
Siku hizi ukimtongoza msichana kitu cha kwanza anachofikiria ni kwamba unataka kumuoa kitu ambacho sio kweli.

Binti akimaliza chuo atahangaika kutafuta ajira lakini akiona ajira haipatikani basi atahangaika kutafuta mwanaume wa kumuoa akiamini ndoa itamtatulia matatizo yake mwisho wa siku anaambulia ahadi feki mwishowe anaishia kuchezewa.

Kawaida yetu sisi wanaume ni kwamba tunapomtongoza mwanamke haimaanishi kwamba nimeshaona unafaa kwa ndoa bali nakua nimekutamani sababu nimeona tu una chura mkubwa au umbo zuri na lengo langu kubwa ni kufanya mapenzi na wewe ila ndoa itakuja baadae baada ya mapenzi kuimarika.

Ndoa ni kitu kizuri na ni jambo la kumpendeza mwenyezi Mungu ila binafsi nikiona mwanamke ana uhitaji sana wa ndoa ya haraka kuliko anavyonihitaji mimi napata sana wasiwasi.

Binti unamtongoza leo hata papuchi hajatoa anaanza kuulizia mambo ya ndoa je ukiniuzia mbuzi kwenye gunia, onyesha tabia nzuri na ndoa utaiona inakuja automatically.

Mwenye masikio na asikie
Kwani kosa likowapi mtu kamaliza chuo kazi hakuna kuolewa nako ni dhambi wakazi kahitim masomo yake
 
Wengi wengi. Ngoja wengine nikawape ujumbe wao whatsapp.
Kuna binti aliolewa na mbongo fleva mmoja ..... Kumbe binti alivyotongozwa akamwambia jamaa sawa ila mimi sijaguswa kwahiyo ukitaka tugusane nioe. Msanii wa watu akajipinda kweli akaoa. Siku ya ndoa sasa wakanyanduane kaka kufika anakuta wenzie walishapita kitambo.
Basi kesho yake akaamka akamlima Yule dada talaka 3. Binti anasema yeye alikua ameshachoka kuchezewa na jamaa alikua serious basi akajitoa mkosi wa kutoolewa.
Sema msanii mwenyewe sasa hivi Ana chombo kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli hatupendi kuchezewa ila unamkubaliaje mtu unamwambia akuoe wakati hamjajuana hata. Hujui tabia zake. Hujui ndugu zake wala ukoo wake. Hujui mila zao. Hayo hayawezi kufanyika ndani ya week baada ya kukubaliana mdate.
Huwa nawaambia tudate kitakachotokea mbeleni inshallah maana hata mimi sitaki kukurupukia ndoa nisiyoijua nini naenda kukutana nacho.
Hakuna mwanamke anae penda kuchezewa na kuachwa....wanawake wanataka security awe na uhakika na wewe.

am better here

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mfano huyu angechukua muda kumjua mumewe asingemuomba hata aende kwao hata mwanaume angeforce vipi angemkataa
IMG-20190219-WA0085.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom