LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,288
- 11,639
Mada za kuwasema Single Mother zimekuwa nyingi sana ila watu hawajui kuwa Wanaume wenye watoto ambao washatengana na wenza wao ni Pipa na mfuniko na Masingle Mother hawana tofauti ni kitu kimoja
Ukiingia kwenye Mahusiano na Mwanaume ambae ana Historia ya kumzalisha mtu huko nyuma basi kabla ya kufunga nae Ndoa hakikisha kaburi la huyo mwanamke aliyezaa nae ulione kama yupo hai ingia kwenye Hiyo Ndoa utakuja kuhadithia mauza uza yake soon
Nadhani leo mmeona habari ya Binti kumchinja Mmewe kisa kamfuma kwa mzazi mwenzake eeh hao ndio wanaume Masingle Father hawanaga tofauti na Masingle mother mm huwa nashangaa mada ya kuwaponda waawake wakati Aliyezalisha nae ni walewale
Siku zote watu wanapoachana huwa Tatizo huwa sio la Mwanamke peke yake mara nyingi mambo huwa ni 50/50 hata huyo mwanaume aliyemtekeleza huyo mwanamke na mtoto juu nae shida ipo sasa ukija kuingia nae kwenye Ndoa kuwa makini sana
Ifike muda sasa anaepinga Sitaki Single Mother ahakikishe nae hana mtoto nnje,Maana kuchezea binti wa mtu alafu umetia mimba ukakimbia huna ubavu wa kuja kumponda Single Mother maana wewe na yeye ni kitu kimoja yaani pipa na mfuniko wake