Mabinti na kazi

huwezi bishana na hii kitu..labda kama hujawahi kufanya kazi kwenye maofisi.
 
Thanks shortlisted
 

dah hatari sn,wenyewe utawasikia wanashauriana ’wewe mpe tu kwan ataondoka nayo'?
 
Hahahahaaaaa..... Htr sana
 
Unataka tuanze kuishi kwa hofu na wapenzi wetu......?
 
Sio lengu langu. Hata hivyo binadamu hawaaminiki Kamwe. Yupo Dada mmoja hapa ofisini kwetu anatoka na country manager na kila mmoja ana familia yake. Kazi kwako mkuu s.crony
 
Last edited by a moderator:
kwanini umeondoa utabibu naualimu?
1.walimu vijijii,wilayani unajua wanavyoomba ruhusa kwenda mjini kywenye mshahara?,unajuawanavyopata au jinyenyekeza kwa mabosi wao wa wilaya,ukaguzi,nk....ahaha acha bwana
2.TUJE MADAKTARI...
Kwani matabibu hawana PAPUCHI?
Kwani hawaishi/hawajui matatizo? hawapendi starehe?hawahitaji kupanda madaraja?hawahitaji posho nje ya kituo ca kaz?hahitaji fursa?
hebutufafanulie kwnini umeyaondoa Haya MAKUNDI?
nawakilisha...
 
Mkuu nilijikita kwenye hatua ya awali ya kusaka eneo la kupatia tonge after school... Kwa mapana ya uwasilishaji wako nao wanahusika hapa. Wauguzi na night zao mmmh... ni shidaaar. Pia walimu nao Wana changamoto zaooo.... monaco
 
Last edited by a moderator:
Hapa ofisini kwetu kuna vibinti vilikuwa intern kwa karibu mwaka,viliposikia kuna nafasi 2 za ajira tulishangaa kuona vinajirahisi kwa manager ambaye ni mngoni. Kisichana kimoja ni kiarabu koko basi jamaa alivigegeda chap chap bila shida ili avipendekeze viajiriwe,hii ni nouma sana.
 
Hahahahaaaaa..... Ni shideeer mkuu leipzig
 
Last edited by a moderator:

Ulikuwepo siku ya tukio?
 
Ulikuwepo siku ya tukio?
ha ha ha ndugu yangu umenifurahisha sana ameongea kwa kujiamini sana, jamani acheni kusingizia watu maovu ikiwa hamna ushahidi wa kutosha au labda aliwachungulia dirishani mwenzetu.
 

una akili sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…