Mabinti na kazi

Mabinti na kazi

wew acha tu najuta kusoma yaan nimeomba kazi nikaambiwa nichague interview itaifanyia wap? ata kama nje wa nchi? kazi kushinei

Pole sana, najua mazingira ni magumu sana na Fikra za mswahili ni ngono 68%. Ni tatizo kubwa...
 
Inatokea but not always. Rushwa ya ngono imekuwepo toka enzi na enzi, so its not a new thing. Tusi genaralize mambo. Wengi wao wanaoliwa wanatafuta kazi wakiwa wameshika chupi mkononi. Namaanisha wanataka wao kutoa rushwa ya ngono. The same applies kwa wanafunzi wa vyuo. Unamwambia lecture please im ready for anything ilimradi ni pass somo hili. What do you expect, ukikataa matakwa yake anaanza kutangaza eti ulikuwa una mtaka akakunyima ndo umemfelisha.

kuna kipindi zilitoka nafasi za kwenda kusoma ofisini kwetu, nafasi 2, ila kada tofauti. Kwa kida ninayoiongoza kuna possible three candidates. Wawili wanawake na mmoja mwanaume, nafasi moja. Nilishangaa these ladies kila mmoja alitaka anishawishi kwa K ili nimpe nafasi, ingawa siyo direct lakini mtu mzima unajua pale binti anapokuwa anataka kukutega. So nilichofanya, nilimuoomba boss wangu akubali tuombe chuo kimoja wapo wawafanyie usahili wa mtihani ili kuondoa maneno. Mwanaume alifaulu akaenda zake.so in most cases wanawake wenyewe ndo wanakuwa wanataka kutumia advantage za papuchi zao kufanikiwa kwenye lile wanalolitaka.

Hapa nimekusoma vyema. Na ndoto zao za kutoka kimaisha hrk hrk wanatembea na vibabu ambavyo tyr vina pesa na vyeo vikubwa. Aibu sana kujitahisi hivyo.
 
Aaaaaaarghh Mabinti tena na tena, na wanaume hupataje Kazi??????? Ngoja niandae chai ya boss nakuja
 
Dah, wahusika wapunguze kujirahisi.
Pia, hr na mameneja wa kike si wahusika ktk hili
 
Aaaaaaarghh Mabinti tena na tena, na wanaume hupataje Kazi??????? Ngoja niandae chai ya boss nakuja

Duuh, nimewagusa wengi hapa. Wengi wanaokuja na jazba hapa wanalo.
 
Duuh, nimewagusa wengi hapa. Wengi wanaokuja na jazba hapa wanalo.

Mkuu hujanigusa binafsi nashangaa sijawahi kukutana nacho hicho kitu, ndomana nikauliza wenzetu mnapataje Kazi kama mabinti wanatoa nyuchi????? au na nyie mwatoa 0713???????
 
Mkuu hujanigusa binafsi nashangaa sijawahi kukutana nacho hicho kitu, ndomana nikauliza wenzetu mnapataje Kazi kama mabinti wanatoa nyuchi????? au na nyie mwatoa 0713???????

Ooooh, Hongera km halijakupata. Watu walika huku uuuwiiiiii
 
Kwa maneno yenu mnayoyatoa kwenye mada mbalimbali zinazohusu ngono????? maneno yanatisha sana na hayafai kabisa. Naona kila mtu anajitahidi kuonyesha ufundi wake wa kumfurahisha na kumchekesha shetani. Mpo kwenye ulimwengu mwingine kabisa, unaofahamika kwa jina la giza. Mngekuwa mna MUNGU ndani yenu yasingewatoka maneno kama hayo.

Poleni sana.
 
Hapa nimekusoma vyema. Na ndoto zao za kutoka kimaisha hrk hrk wanatembea na vibabu ambavyo tyr vina pesa na vyeo vikubwa. Aibu sana kujitahisi hivyo.

Kuna kibabu kimoja pale pepsi pugu road kinaitwa Hassan. kinapenda sana hii kitu. kkile kama hakija ukwaa sijui.
 
Kuna kibabu kimoja pale pepsi pugu road kinaitwa Hassan. kinapenda sana hii kitu. kkile kama hakija ukwaa sijui.

Hahahaaaaa.... Wako wengi sana. Dada zetu nao mmmh... Wanatumikaje?!!!
 
Mkuu hujanigusa binafsi nashangaa sijawahi kukutana nacho hicho kitu, ndomana nikauliza wenzetu mnapataje Kazi kama mabinti wanatoa nyuchi????? au na nyie mwatoa 0713???????

Ukiona mwanamkea anajadili 0713, ujue anaitoaga nae maana mmmh
 
Hii kweli kabisa , nimeambiwa na mabinti zaid ya 4

Wanachapika mnooo.... Wao wanaona ni kama mtindo wa maisha ya sasa. Sijui km kinga wanakumbuka au ndio kujilegeza mazima na hatima yao wanamwachia Mungu.
 
Back
Top Bottom