Mabinti na kazi

Mabinti na kazi

Sio lengu langu. Hata hivyo binadamu hawaaminiki Kamwe. Yupo Dada mmoja hapa ofisini kwetu anatoka na country manager na kila mmoja ana familia yake. Kazi kwako mkuu s.crony

dah....yaani unzidi kuninyong'osha moyo....!ngoja nianze kufanya tafiti....hawa viumbe hawaaminiki unaweza ukampa kila kitu bado akatoka na mesenja.....ni sheeedah!
 
Ukianza tafiti uwe na uhakika wa kuhimili matokeo aiseeee
 
Haya nyie jadilianeni, mikapata majibu mtaniambia, maana mie sio mwenyeji maeneo haya.
 
Back
Top Bottom