Mabinti na kazi

Mabinti na kazi

Hahahaaaaa.... Wako wengi sana. Dada zetu nao mmmh... Wanatumikaje?!!!
Huku kazini nilipo vijana wa kiume wanatumika sana mpaka huruma,kumbe mkuu pande hizo ni akina dada pekee?
 
sidhani kama hili tatizo liko kwa kiasi kikubwa sana,labda useme kujuana ndio naona hilo tatizo lipo,na kama mwajiri ni mwanamke inakuwaje?
 
sidhani kama hili tatizo liko kwa kiasi kikubwa sana,labda useme kujuana ndio naona hilo tatizo lipo,na kama mwajiri ni mwanamke inakuwaje?

Mwajiri mwanamke anataka pesa au vyote (sometimes)
 
Kwanini isijadiliwe wakati ndo habari ya mjini, Inamana wanaojadili hicho kitu humu wake kwa waume wameliwa 0713??????

"Ukiona mwanamke anajadili 0713, ujue anaitoaga nae maana mmmh""" unakichwa kigumu ww Mwanamke sijapata kuona hebu rejea red hapo
 
Wanachapika mnooo.... Wao wanaona ni kama mtindo wa maisha ya sasa. Sijui km kinga wanakumbuka au ndio kujilegeza mazima na hatima yao wanamwachia Mungu.
Kwa taarifa yako Mabinti ndio kikwazo ktk kutumia Kondom, usipotumia unaoneka mjanja kweli, watabisha tu ila ukweli wao nao wao
 
Details plz....
Details gani unataka??
Wewe nia yako si ni kudhalilisha wanawake wote walopata kaz kua wamegawa...sidhan kama hili tatizo ni kubwa kama unavolikuza ila unataka usikie rahaaa kwa kulikuza.Pande za huku akina kaka ndo wanatoa rushwa ya ngono imagine office nzima...usiulize umejuaje na nimefanyaje utafiti unless otherwise ujibu ww kwanza
 
sidhani kama hili tatizo liko kwa kiasi kikubwa sana,labda useme kujuana ndio naona hilo tatizo lipo,na kama mwajiri ni mwanamke inakuwaje?

Noooooooooooooooo, Ngono 75%, kujuana 15% na Udini na Ukabila 10%
 
Details gani unataka??
Wewe nia yako si ni kudhalilisha wanawake wote walopata kaz kua wamegawa...sidhan kama hili tatizo ni kubwa kama unavolikuza ila unataka usikie rahaaa kwa kulikuza.Pande za huku akina kaka ndo wanatoa rushwa ya ngono imagine office nzima...usiulize umejuaje na nimefanyaje utafiti unless otherwise ujibu ww kwanza

Yaani wanawake mnashawishiwa kuliwa uroda ili mtoe ajira au?
Thread yangu haina lengo la kudharirisha jinsi fulani Bali kuamsha hisia za kubadili tabia isiyofaa....
Wewe kama huhusiki ni heri yako ila wapo wengi sana wanatumia mbinu hii. Wengine wanafanikiwa na wengine holaaah...
 
Mwajiri mwanamke anataka pesa au vyote (sometimes)

1. ila waajiri kama hao wanatakiwa kuchezewa michezo ya kuwakamatisha wajulikane tabia zao na jamii nzima.
2. wakati mwingine na sisi watafuta kazi ni wakulaumiwa,unakuta mtu hana vigezo vinavyohitajika anaamua kutafuta short cut what do you expect?lazima they will take that advantage of you.
 
Nakupa Big like lin
Sasa cha kustaajabisha mtu kasoma gender na anagawa uroda ili apewe kazi. Elimu inakuwa na msaada hapo?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: lin
Noooooooooooooooo, Ngono 75%, kujuana 15% na Udini na Ukabila 10%

Aiseee ngono 75% basi kweli tatizo ni kubwa sana,kwahiyo mwajiri wa aina hiyo anakuwa ametembea na wanawake wote wa kampuni hiyo including wake za watu?
 
Aiseee ngono 75% basi kweli tatizo ni kubwa sana,kwahiyo mwajiri wa aina hiyo anakuwa ametembea na wanawake wote wa kampuni hiyo including wake za watu?

Haswaaa, kuna halimashauri moja kanda ya ziwa wakuu wa idara ni wagonjwa halafu wao kao ni kubadilishana watumishi, vibinti vya field ndio kabisaa na ukizingatia wengine pesa za kujikimu hamna acha, atabisha asiyejua wengine tumeyashuhudia
 
  • Thanks
Reactions: lin
Walimu wanapotaka kupangiwa kituo kilichopo mjini na kukwepa kutupwa porini huwa wanajeruhiwa pia

Sio walimu tu..ht matabibu na kozi zingine za afya..ukitaka kupangwa mjini...uchague
 
Inatokea but not always. Rushwa ya ngono imekuwepo toka enzi na enzi, so its not a new thing. Tusi genaralize mambo. Wengi wao wanaoliwa wanatafuta kazi wakiwa wameshika chupi mkononi. Namaanisha wanataka wao kutoa rushwa ya ngono. The same applies kwa wanafunzi wa vyuo. Unamwambia lecture please im ready for anything ilimradi ni pass somo hili. What do you expect, ukikataa matakwa yake anaanza kutangaza eti ulikuwa una mtaka akakunyima ndo umemfelisha.

kuna kipindi zilitoka nafasi za kwenda kusoma ofisini kwetu, nafasi 2, ila kada tofauti. Kwa kida ninayoiongoza kuna possible three candidates. Wawili wanawake na mmoja mwanaume, nafasi moja. Nilishangaa these ladies kila mmoja alitaka anishawishi kwa K ili nimpe nafasi, ingawa siyo direct lakini mtu mzima unajua pale binti anapokuwa anataka kukutega. So nilichofanya, nilimuoomba boss wangu akubali tuombe chuo kimoja wapo wawafanyie usahili wa mtihani ili kuondoa maneno. Mwanaume alifaulu akaenda zake.so in most cases wanawake wenyewe ndo wanakuwa wanataka kutumia advantage za papuchi zao kufanikiwa kwenye lile wanalolitaka.

You are right!
Tutegemee nini katika kizazi hiki cha 'dot com'!!! Binti kavunja ungo katika umri mdogo...kaanza kubeba mibaba katika umri huo. chuoni katoa papuchi kwa wahadhili ili asipigwe supplementary! sasa huko kwenye ajira mnadhani atafanyaje?
 
Kweli umekuja, nimekuona. kaja
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom