Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,614
Haya ufanye hivyo mshwity wangu,.[emoji2] [emoji2] [emoji2] naonaaa...nakutafuta shoo nipooo
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Haya ufanye hivyo mshwity wangu,.
Nikurekebishe tu ISIS kwamba wanawake ndio mnaoa, labda mnaoa wanaume wa dar, mario, walae kama.wa dada fey.Unasikitisha sana mleta mada!
Asubuhi yote hii umekalia kuwasema viumbe waliokuleta duniani?
Nani amekudanganya kwamba wanawake wa sasa wanataka kuolewa?
Acha ushamba ndugu yangu.
This generation wanawake tunaolewa na ELIMU NA BIASHARA THATS ALL!
Alafu sisi wenyewe ndiyo tunaoa wanaume!
unisikilize vizuri sana, ndugu yangu Maana hiyo character ya huyo mwanamke unayemzungumzia labda ni dada zako tu!
Kwenda tafuta kazi acha uvivu kijana mdogo!
Makucha kama mwewe
Acha fix wewe hakuna mwanamke ambaye hana dream ya kuolewaUnasikitisha sana mleta mada!
Asubuhi yote hii umekalia kuwasema viumbe waliokuleta duniani?
Nani amekudanganya kwamba wanawake wa sasa wanataka kuolewa?
Acha ushamba ndugu yangu.
This generation wanawake tunaolewa na ELIMU NA BIASHARA THATS ALL!
Alafu sisi wenyewe ndiyo tunaoa wanaume!
unisikilize vizuri sana, ndugu yangu Maana hiyo character ya huyo mwanamke unayemzungumzia labda ni dada zako tu!
Kwenda tafuta kazi acha uvivu kijana mdogo!
Shosti hapana, kuna mahali umeteleza,.ukisema tunaolewa na biashara na elimu utakuwa unakosea acha uasilia ubaki vilevile,sisi tutabaki kuolewa na wao watabaki waoaji,.mwanaume kamili hawezi kuwekwa kinyumba na mwanamke hata siku moja hata awe kapuku vipi,hao wanaoolewa.........basi tuu halafu elimu,biashara,ujasiriamali n.k hizo ni ziada katika maisha ya utafutaji na ni HAKI ya kila mtu kuhangaika/kufanya kazi...Unasikitisha sana mleta mada!
Asubuhi yote hii umekalia kuwasema viumbe waliokuleta duniani?
Nani amekudanganya kwamba wanawake wa sasa wanataka kuolewa?
Acha ushamba ndugu yangu.
This generation wanawake tunaolewa na ELIMU NA BIASHARA THATS ALL!
Alafu sisi wenyewe ndiyo tunaoa wanaume!
unisikilize vizuri sana, ndugu yangu Maana hiyo character ya huyo mwanamke unayemzungumzia labda ni dada zako tu!
Kwenda tafuta kazi acha uvivu kijana mdogo!
Nimekuelewa sana mkuu... ila wadada wengi hawajielewi hilo liko wazi kabisa although wapo wanaojielewa na wanaelewa wanahitaji nini...Mtoa mada nadhani unawaongelewa ma slay queens wa mjini.
Hawa ambao kutwa wanakesha saloon, na vibarazani,kazi yake kuu ni kuweka picha fb, kudanga ndio wimbo wa taifa.
Wadada wa design hiyo hawafai hata kwa mchuzi.
So wanaume wenzangu muwe makini na wanawake mnaowachagua, kamwe usije chagua slay queen ukadhan atabadilika na kuwa wife material NO haitotokea.
Kuna wanawake classic, wametulia, mwanamke anakuombea , ukiishiwa anakusaidia. Mwanamke anakujali all the time..
Mwanamke mtafutaji.. hata ukimpa hela unasikia amani moyoni..
Nazungumzia akina dada dhabiti.
Usichague slay queen ukidhani atadumu, maisha yako
[HASHTAG]#mumu[/HASHTAG] bonge la point... ahsanteeeeeeeShosti hapana, kuna mahali umeteleza,.ukisema tunaolewa na biashara na elimu utakuwa unakosea acha uasilia ubaki vilevile,sisi tutabaki kuolewa na wao watabaki waoaji,.mwanaume kamili hawezi kuwekwa kinyumba na mwanamke hata siku moja hata awe kapuku vipi,hao wanaoolewa.........basi tuu halafu elimu,biashara,ujasiriamali n.k hizo ni ziada katika maisha ya utafutaji na ni HAKI ya kila mtu kuhangaika/kufanya kazi...
Wanaume wanaghafilika na mambo mengi,.nikuwaombea tuu wakati mwingine,.[emoji4]
unfkiri mchangu basi hata mtamu sana sema wanaume nyie hamuelewekagiHe he he he
Uzi mchungu sana huu aiseee
Mawazo yako leo yamenifanya niwe nagonga like... una hekima nadhani unavitrait vya mwanamke wa mithali 31Shosti hapana, kuna mahali umeteleza,.ukisema tunaolewa na biashara na elimu utakuwa unakosea acha uasilia ubaki vilevile,sisi tutabaki kuolewa na wao watabaki waoaji,.mwanaume kamili hawezi kuwekwa kinyumba na mwanamke hata siku moja hata awe kapuku vipi,hao wanaoolewa.........basi tuu halafu elimu,biashara,ujasiriamali n.k hizo ni ziada katika maisha ya utafutaji na ni HAKI ya kila mtu kuhangaika/kufanya kazi...
Wanaume wanaghafilika na mambo mengi,.nikuwaombea tuu wakati mwingine,.[emoji4]
Wanaume tunaeleweka sana tu.unfkiri mchangu basi hata mtamu sana sema wanaume nyie hamuelewekagi
haya ndo nakuna nazi hapa za kisamvuWanaume tunaeleweka sana tu.
Sema wanawake mna mambo mengi mno kichwani.
Ha ha ha angalia usije ukakiblend maana sidhani utakitwanga mpk kilainike vizurihaya ndo nakuna nazi hapa za kisamvu
Leo niko kwenye mithali 31:25...[emoji4]Mawazo yako leo yamenifanya niwe nagonga like... una hekima nadhani unavitrait vya mwanamke wa mithali 31
nimepata kilichotwangwa,na kunde sijui mbaazi shoga kinaungwa na karanga na nazi sasa ole wake asiniwoweHa ha ha angalia usije ukakiblend maana sidhani utakitwanga mpk kilainike vizuri
Ha Ha basi kamilisha mpk 31 utakuwa mke bora sanaLeo niko kwenye mithali 31:25...[emoji4]
Hahaha nairudi tuu,.nilisha ikamilisha[emoji38]Ha Ha basi kamilisha mpk 31 utakuwa mke bora sana