jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,974
- 1,400
nimejaribu kuwataka mabinti haijalishi wako kwenye mauhusiano au hapana kupitia facebook huwa hawakatai mbaya zaidi unakupa number yake ya cim na sehemu anayofanyia kazi au kusoma na mahali anapoishi..cim ukipiga usiku mnapiga naye story nikinoma.nikajaribu kuwaulizia washikaji zangu kama watano hivi hivi mie ndiye mwenye zali peke yangu au nini nao majibu ni hayo hayo.ila wakasema mabinti wakiona huko nje tu na pcs zako ziko fresh kimtoni hawakatai.ukirudi bongo nikugusa tu..unakula kitu akitegemea utamtoa kwenye vumbi ya kibongo.