Mabinti kwenye facebook hawajui kusema no!

[video=youtube_share;WpCosXjD6IM]http://youtu.be/WpCosXjD6IM[/video]
kueni makini sana wadada wenzangu...........
nilickia bongo miezi miwili iliyopita kuna mdada alidate na mkaka fb badae wakaamua kuonana alipoenda kwa mkaka akamkuta na wengine wanne wakambaka kweli kwlei zen wakaenda kumtupa ktk mtaro akaokotwa na wapita njia na kupelekwa medical
Hizo picha zimenishtua hayse
 
si kusema NO tu hawajui bali wengi wao ndo hutoa tongozo!!!mimi nawaektia basi dah!!!!nimeamua siku hizi siaccept marafiki wa kiume.....imekuwa kero yaani ukiwa na kiumaarufu na picha za kuwadanganyia!
 
Utulivu sifuri..sio wote wana akili hiyo labda wale ambao wapo kibiashara huko FB!
 
umeona eeh! Wote utulivu zero. Mi nataka nifanye research ya wanaume wa jf kama wametulia au la.

usijali shosti, sample ya kwanza huyu huyu mtoa maada. Ni juzi tu alirusha nyuzi akimzungumzia mkewe, sasa leo anaenda kutongoza wadada facebook ili iweje?? Labda atuambie kama alikuwa anafanya research na yeye!
 
nitaletea matokeo ya research mwezi ujao ila kwa jinsi ninavyoona hakuna aliyetulia.
 
nimejaribu kuwataka mabinti haijalishi wako kwenye mauhusiano au hapana kupitia facebook huwa hawakatai mbaya zaidi unakupa number yake ya cim na sehemu anayofanyia kazi au kusoma na mahali anapoishi..cim ukipiga usiku mnapiga naye story nikinoma.nikajaribu kuwaulizia washikaji zangu kama watano hivi hivi mie ndiye mwenye zali peke yangu au nini nao majibu ni hayo hayo.ila wakasema mabinti wakiona huko nje tu na pcs zako ziko fresh kimtoni hawakatai.ukirudi bongo nikugusa tu..unakula kitu akitegemea utamtoa kwenye vumbi ya kibongo.
sijaonaga!!
 
si kusema NO tu hawajui bali wengi wao ndo hutoa tongozo!!!mimi nawaektia basi dah!!!!nimeamua siku hizi siaccept marafiki wa kiume.....imekuwa kero yaani ukiwa na kiumaarufu na picha za kuwadanganyia!

Samahani sana naomba kujua, wewe ni mwanaume ama mwanamke?? Samahani muuza sura nijibu pls
 
Back
Top Bottom