Mabinti hebu nithibitishieni hili

Mabinti hebu nithibitishieni hili

kuku wa kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
494
Reaction score
151
Je kuna utofauti wowote ukitongozwa na mtu aliyesoma na asiyesoma,akikutongoza na mtu aliyeacha shule akiwa form two na mtu mwenye master yake nani mjuzi wa kuchangisha maneno na mwenye wingi wa maneno.

Tafiti zinasema mwaunaume akiwa na elimu kubwa hupunguza maneno ya kuongea na mwanamke akiwa na elimu kubwa huongea sana.
 
Naomba nitoke nje ya mada! ID yako imenikumbusha ule wimbo wa supu ya kienyejii ni tamu sana.
 
Ndio kwani wasomi hawana uzoefu wa kutongoza but hawa street boys ndo usiseme
 
Wewe umewahi kutongozwa na wanaume wa aina gani?
 
Makonda wa dala dala wana vijineno vitamuuuuuu...KULIKO WASOMI WA SHAHADA YA 2 na TATU (pHD)
 
Hivi bado kuna mashairi tu siku hizi, labda kuimbisha mademu wasiojielewa siku hizi si ni ku-set appointment tu, mashairi yamebaki pindi mnapokorofishana hapo sasa watu ndio wamepishana kuimbisha
 
Ungewauliza wazee hao ndo walikuaga wanatongozana...siku hizi mitongozo ya.mistari hakuna tena
 
Umenikumbusha kitambo sana demu wangu alichaguliwa kufundisha shule moja huko Wilayani kwenye shule zetu za sekondali za kata basi ktk kuishi pale kijijini mfanyabiashara mmoja akaamua kumuibukia kwa kumpatia barua ambayo kwa jinsi nilivyohadithiwa ilikuwa ni kama anaomba kazi vile
"Habari yako dada? Shikamoo!! ujue mie nakupenda sana tuwe wamoja tufanye mapenzi n.................." it was so funny nikasema duh aise hata bush kumbe wapo waimbishaji
KWA KUOGOPA KUDANGANYWA SIKUENDELEA KUMHOJI KAMA ALITOA PAPUCHI AU LA
 
Haaaaaa!haaaaaa!haaaaa! Ulichukuliwa Mke Bila shaka!
 
Back
Top Bottom