duh..mkuu si ungetumia tu luga ya kiungwana..umetumia luga kali sana na hata ivo mtoto wa watu hana kosa ungeelekeza shutuma kwa baba yake kama unaona ana hatia na si mtoto ambae hajahusika na hayo unayomtuhumu baba yake,wakati mwingine tuwe wa ungwana na tutafakari kwa kina kabla hatujapost
View attachment 242296
Ngina Uhuru Kenyatta
View attachment 242298
Sikhanyiso Mswati
View attachment 242299
Angel Kagame
View attachment 242300
Diana Museveni
View attachment 242301
Mugabe doughter
View attachment 242302
Faith Jonathan
View attachment 242296
Ngina Uhuru Kenyatta
View attachment 242298
Sikhanyiso Mswati
View attachment 242299
Angel Kagame
View attachment 242300
Diana Museveni
View attachment 242301
Mugabe doughter
View attachment 242302
Faith Jonathan
Ina maana wa Jk hamna kitu? Siamini
Weeee acha kabisa maana itakua hatariii.Na fake ID ziheshimiwe tu.
Kivipi bhana, nitumie basi private...!
Weweeeee? Ishia hapohapo!
kama ningeambiwa nichague waliovutia na wazuri ningemchagua kwanza mtoto wa rais museveni na wa pili mtoto wa rais mugabe waliobaki ni wa kawaida sana na hata dada zangu wengu humu jf wanawashinda kwa uzuri na urembo.
Wa mswati,mugabe na huyo wa jonathan wa kawaida tu ila hao watusi wa kagame n m7 ni hatari.ukienda rwanda ndio utajua watusi ni warembo w haja
Kumbe Mh Wasira kisha apishwa?