Mabint wa marais wa Afrika ambao ni warembo

Mabint wa marais wa Afrika ambao ni warembo

Wa mswati,mugabe na huyo wa jonathan wa kawaida tu ila hao watusi wa kagame n m7 ni hatari.ukienda rwanda ndio utajua watusi ni warembo w haja
 
binti wa kwanza ni mtoto wa uhuru, wapili mtoto wa mswati na watatu ni mtoto wa mseveni.

huyo mtoto wa kagame sura yake kama mfano wa uchi. na laana ya damu za baba yake inamfuata.

Usilete ukabila wako na ushenzi wako kwenye mambo ambyao hayahusiani.
Yeye ni mtoto wa raisi kagame. Wewe ni mtoto wa nani? Peasant?
Acha ujinga wako. Utabaki uko hapo hapo .
 
Usilete ukabila wako na ushenzi wako kwenye mambo ambyao hayahusiani.
Yeye ni mtoto wa raisi kagame. Wewe ni mtoto wa nani? Peasant?
Acha ujinga wako. Utabaki uko hapo hapo .

Mkuu kumbuka ujinga ni mzigo mkubwa sana na mtukanaji ni baba wa hao wajinga, hatuna la kumwambia zaidi ya kumwonea huruma.
 
umemsahau avintishi dr.slaa,nayo pini ya ataly inakimbiza pande za masaki.
 
duh..mkuu si ungetumia tu luga ya kiungwana..umetumia luga kali sana na hata ivo mtoto wa watu hana kosa ungeelekeza shutuma kwa baba yake kama unaona ana hatia na si mtoto ambae hajahusika na hayo unayomtuhumu baba yake,wakati mwingine tuwe wa ungwana na tutafakari kwa kina kabla hatujapost

muache kila mtu aongee kwa style yake...hapo ndo unapata nafasi ya kujua akili ya mtu
 
Mmh!huyo diana au museveni kaibiwa mbona tumacho kama angel wa kagame ila kaukweli,huyo wa mswati kama vile mcharuko anaonekana hajatulia mugabe naona kitu colored km yeye ngina angekuwa na macho yaliyofifia km ya mzee wa hang'over na cha arusha baba yake angekuwa copy,ila mi diana tu.

Mke wa M7 kama unamwona kutoa product kama hiyo ni haki kabisa pia M7 kabila yake mbona ni wale wale
 
Back
Top Bottom