Mabingwa wanafanya nini nyuma ya mlango?

...katika kuwania madaraka, hamna marafiki wala maadui wa kudumu.
 
mmiliki wa richmond na aliyeiingiza nchini.
wajinga ndio waliwao.
 
wanashauriana namna ya kuzipiga
hela za kampeni si unajua wote ni watengwa wa chichiem!
:gossip:
 
Kama unajua kusoma lugha za picha,hapo 6 anasema "Wewe mwarabu utamaliza maneno yako yoote,lakini lazima nikukaange *(((&*%% zako"
 
Wanajadiliana kuanzisha ccj 2,moja anamshawishi mwenzake ajiunge na chama kubwa,makini!CCJ
 
mhuuu! mbona mwarabu amesima kama mtu alichoshwa na siasa uchwara? naona 6 anamwambia hata mimi niko hoi na magwanda haya ya kijani natamani kaki lakini nitakwendaje bila viatu?
 
Hapo mwongeaji alikuwa RA 6 anaonekanwazi kusikiliza kwa makini story yenyewe ilikuwa ya kusutana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…