TabletFellow
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 918
- 274
Tuwekee hiyo link
akili fupi ni laana kuliko kukosa viungo
google sio lazima upewe link
Tuwekee hiyo link
Ikishuka pia inaweza kuuwa.Ikishuka ikimpata mtu madhara ni yaleyale,tegemea na itakapoland..kufyatua risasi hewani haiwezi kuua mtu.
Risasi itaenda hewani.
tangu miaka ya 1990 alikuwa anatuhumiwa kwa ujambazi na inasemekana aliishia form 2 huko Kenya na aliporudi alifanya ujambazi ndo ukamsaidia kupata fedha! Alikuwa analalamikiwa sana kuwadhurumu wananchi ardhi '' akipenda tu eneo lako lazima anakutafuta visa mpaka analipata'''za mwizi arobaini wananchi wa Kisesa walisha mkosa zaidi ya mara 3 lakin alikuwa akiokolewa na polisi! Huyo ndo mwenyekiti mstaaafu wa CCM wa Mwanza
kufyatua risasi hewani haiwezi kuua mtu.
Risasi itaenda hewani.
Afu huyo mtoa taarifa wa polisi anajuaje kuwa dhamira ya MABINA haikuwa kuuwa hali polisi hawakuwepo kwenye eneo la tukio?, kuuwa kwa kudhamiria au kutodhamiria ni siri iliyokuwa moyoni kwa Mabina na kaondoka nayo, so polisi acheni longolongo zenu
Na wananchi walijua kuwa polisi itakuja na ngonjera km hizi ili kumtetea mtu wao.
Huyu ubabe kujiamini dharau kulimzidi,naona alikoga mvua ya
Askari polisi wa tz wengi wanawalinda watuhumiwa. Mtu afyatue risasi hewani halafu impate mtu, kweli? Ama huyo aliyepatwa alikuwa hewaniHali hiyo, wanaielezea ilisababisha kuanguka chini na wakazidi kumshambulia hadi wakahakikisha amekufa huku vijana wake wa kazi wakiingia mitini.
Ofisa wa Polisi ambaye hakutaka jina lake litajwe kwa kuwa yeye si msemaji wa jeshi hilo, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo. Taarifa hiyo ya Polisi ilieleza kwamba, mgogoro huo ulizuka baada ya wananchi hao kumtuhumu Mabina kuwa ana mpango wa kuuza eneo lao la kijiji
kwa mwekezaji.
Ni mapema mno kuelezea tukio hili kwa undani hasa ikizingatiwa kuwa mimi siyo msemaji. Subiri msemaji wa jeshi atawapa taarifa kwa undani, alisema ofisa huyo.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Christopher Fuime alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema wanaendelea kufanya uchunguzi.
Tulipata taarifa ya kuwepo kwa tukio hilo na kutuma vijana wetu kwendakutuliza vurugu, alisema Fuime. Alisema Mabina hakuwa na dhamira ya kuua, ila alijaribu kufyatua risasi hewani kwa lengo la kuwatuliza na ndipo ilipompata mmoja wao.
By Miguel Suleyman, Mwananchi
Imewekwa Monday, December 16
2013 at 08:05