Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Hahahahahaha mkuu umenichekesha sana aisee......je umepata habari ya mujini kuwa Aunt Ezekiel ana mimba ya waziri wetu, hivyo jiandae mwakani kuongezewa kodi kwa wingi manake inasemekana ni mapacha aka twins
Mkuu kumbe huyu jamaa unamjua A to Z......Ila Faraja anadai kosa alifanya tokea mwanzo manake waziri alivyotoka Marekani na alipomtokea hakumsoma vizuri na kwa kuwa alikuwa desparate kuolewa kutokana na umri kwenda kidogo ndo akaingia kingi, ndio mana kwa sasa kasema baaaaaaaaaaas ni sheeeeeeeeeda na kuamua kurudi nyumbani kwao jana....alikuja kutafuta ushauri kwa mke wangu sasa giza lilipoingia nikajaribu kumshawishi alale home ili na mimi nipige gemu afu tuone waziri atajisikiaje but ilishindikana aliondoka akaenda nyumbani kwao..........
Huyo aunt si ameolewa! kweli Tanzania bila UKIMWI haiwezekani.
anti ezekiel naona unamtetea jamaa baada ya kukupeleka kukudadavua US.Team kagasheki kazi mnayo.
anti ezekiel naona unamtetea jamaa baada ya kukupeleka kukudadavua US.
sisi tunaongelea masilahi ya taifa na sio mapenzi kama wewe. bwe,ge wewe.
Ukimuangalia usoni tu anaonekana mnafiki, anahofu hana amani yote hiyo kwa sababu anajijua yeye si msafi. haina haja ya kumtetea wala kumsakama nafsi yake inamtesa mwenyewe., hata yeye anashangaa kwa nini mpaka leo bado ni waziri kwa nini hawajibishwi.
Thanks Mkuu.... Wengi wetu humu hawajui kuwa sura imeumbwa kukataa maovu! Nyalandu sura yake inaeleza kila kitu! Mnafiq Categery A! Wazungu wamegeuza maeneo ya hifadhi za Taifa kama nchi zinazojitegemea... Ukienda Singita utasikitika sana! Vitalu vya uwindaji ni balaa... Akina Charles Dankan Wamemjengea Bonge la Kasri pale karibu na shule ya Enaboishu - Arusha... Huyu Jamaa ni Jangili lililokubuhu...
samahani ati ezekiel nilikuwa najaribu kueleza hisia zangu tu kwa garama mnazoliingiza taifa hili kwa mambo yasiyofaa. waonieni huruma wananchi wanaoteseka huku vijijini.Bwanamdogo shika adabu yako.
Hahahahahaha hili nalo linawezekana.......mpaka kamzawadia Juma Pinto ujumbe wa bodi ya Ngorongoro
...kuna thread nyingine unasoma hata mara kumi huwezi pata mashiko/maudhui,unajaribu kukonekti dot zote lakini bado chenga tu...
Acha kuunganisha dot, jifunze kusoma katikati ya mistari.
Umhhhh...Sio siri baada ya kumpa Aunt Ezekiel mimba nakubaliana na wewe kuwa huyu jamaa ni mchapakazi....
Fukueni yote tujikumbusheUmhhhh...
[emoji15]Nyalandu kawavuruga sana vita vyenu mmehamishia jf na kuna gazeti mmoja nalo huwa halina habari nyingine kilasiku Nyalandu.
Msituzingue nchi hii Nyalandu si Mzigo wala sio Jk,mzigo ni CCM msitupotezee focus.
Semeni kawavurugia mtandao wenu kaingiza wake sasa hampati usingizi.