toby ziegler
Senior Member
- Aug 20, 2011
- 105
- 58
Hivi mabilioni ya pesa ambayo Nyalandu na watu wake waliwalipa wale wazungu kuifanyia PR wizara yake na serikali yameishia wapi?
Maana nashangaa pesa za misaada hawazitoi, bado wanasema kuwa serikali yetu imejaa wezi na majambazi, wale wale wazungu waliopewa pesa waandike habari nzuri bado tuu wanaendelea kukipaka na bad news. Sasa Nyalandu aliona umuhimu gani wale wazungu kulipwa pesa huko UK? kwa nini hizo hongo za pesa asingetoa hapa kwa hawa waandishi wetuwa habari ambao wakipewa semina Zanzibar au mikumi na bahasha za brown bas wao hukupamba wee mpaka!
waso it really worth it for Nyalandu kutoa zaidi ya dola milioni 3 kuilipa kampuni ambayo hawanyi kazi yyote ile au kasahau kuwa hawa wazungu hawanunuliki kirahisi kwenye zama hizi za twitter na new media?
...kuna thread nyingine unasoma hata mara kumi huwezi pata mashiko/maudhui,unajaribu kukonekti dot zote lakini bado chenga tu...
haa haa, mkuu rekebisha dish ili upate signals vizuri, nadhani chenga zitatoka tu!...kuna thread nyingine unasoma hata mara kumi huwezi pata mashiko/maudhui,unajaribu kukonekti dot zote lakini bado chenga tu...
Nani wa kumwajibisha NYA..LA..NDU? Baba kikojozi na mtoto kikojozi. Nani atamnyooshea kidole mwenzake?
Jamani mmesahau ule msemo maskini akipata mat.ko hulia mbwata!!!!!! huyu Nyalandu target yake ni mamiss tu na watamkoma mpaka JK akitoka madarakani atakuwa kafaidi sana, hata mie natamania cheo chake nienjoy to the fullest basi tu nimejipiga pin na haka kaajira kanguNyalandu ni mchapakazi na mzalendo wa kweli,alidiriki kupambana na majangili,hawa si wazungu,bali viongozi wazito kwenye chama cha siasa,huyu waziri Nyalandu si wa kawaida,kupambana na hili kundi ni hatari,tumpe moyo tusimkatishe tamaa watanzania wazalendo.kumbukeni operation tokomeza ilihujumiwa makusudi ili isifanikiwe lakini uzalendo ukashinda,kuna siri nyingi zimefichwa hapo wengi wetu hatujui.
Ukimuangalia usoni tu anaonekana mnafiki, anahofu hana amani yote hiyo kwa sababu anajijua yeye si msafi. haina haja ya kumtetea wala kumsakama nafsi yake inamtesa mwenyewe., hata yeye anashangaa kwa nini mpaka leo bado ni waziri kwa nini hawajibishwi.
Jamani mmesahau ule msemo maskini akipata mat.ko hulia mbwata!!!!!! huyu Nyalandu target yake ni mamiss tu na watamkoma mpaka JK akitoka madarakani atakuwa kafaidi sana, hata mie natamania cheo chake nienjoy to the fullest basi tu nimejipiga pin na haka kaajira kangu
Nyalandu ni mchapakazi na mzalendo wa kweli,alidiriki kupambana na majangili,hawa si wazungu,bali viongozi wazito kwenye chama cha siasa,huyu waziri Nyalandu si wa kawaida,kupambana na hili kundi ni hatari,tumpe moyo tusimkatishe tamaa watanzania wazalendo.kumbukeni operation tokomeza ilihujumiwa makusudi ili isifanikiwe lakini uzalendo ukashinda,kuna siri nyingi zimefichwa hapo wengi wetu hatujui.
mi nilivyoona tu huyu jamaa kaoa aliyekuwa mshindani kwenye umiss nilijua tu jamaa kwa masuala ya ufuska katisha, juzi katoka na aunt Ezekiel kwa pesa za serikali na kula naye bata huko marekani. Huyu alipaswa kuwajibika mara moja.Ukimuangalia usoni tu anaonekana mnafiki, anahofu hana amani yote hiyo kwa sababu anajijua yeye si msafi. haina haja ya kumtetea wala kumsakama nafsi yake inamtesa mwenyewe., hata yeye anashangaa kwa nini mpaka leo bado ni waziri kwa nini hawajibishwi.
haa haa, duh huyu jamaa hafai, ulisikia wapi mtu makini anaweza kuoa miss?Jamani mmesahau ule msemo maskini akipata mat.ko hulia mbwata!!!!!! huyu Nyalandu target yake ni mamiss tu na watamkoma mpaka JK akitoka madarakani atakuwa kafaidi sana, hata mie natamania cheo chake nienjoy to the fullest basi tu nimejipiga pin na haka kaajira kangu