simplemind JF-Expert Member Apr 10, 2009 16,409 9,183 Dec 20, 2013 #1 Hatimaye mabilioni yaliofichwa Uswisi kuwalipa mshahara $2800 kwa mwezi wasiokuwa na ajira. news.yahoo.com/blogs/sideshow/switz...sic-income-minimum-for-adults-181937885.html
Hatimaye mabilioni yaliofichwa Uswisi kuwalipa mshahara $2800 kwa mwezi wasiokuwa na ajira. news.yahoo.com/blogs/sideshow/switz...sic-income-minimum-for-adults-181937885.html
K Kamundu Platinum Member Nov 22, 2006 6,608 8,749 Dec 20, 2013 #3 Mnavyosema mabilioni ya Uswisi ni pesa za wanasiasa au wafanyabiashara? kama ni mfanyabiashara na unapesa kwenye account nchi nyingine ni kosa!!
Mnavyosema mabilioni ya Uswisi ni pesa za wanasiasa au wafanyabiashara? kama ni mfanyabiashara na unapesa kwenye account nchi nyingine ni kosa!!