Mabilionea wa Mwanza respect and silence

Ni kweli. Binafsi na team yangu tuliwahi kuwaletea strategic proposal nzuri to cater for innovation area wakawa wahuni tu. Nami nakiona kifo chao ki karibu.
 
Ni kweli. Binafsi na team yangu tuliwahi kuwaletea strategic proposal nzuri to cater for innovation area wakawa wahuni tu. Nami nakiona kifo chao ki karibu.
Sahara Media Group imeshakufa hiyo, haina haja ya kusubiri wakati ujao.
Haina ushindani wowote ipoipo tu.
 
Hivi huyu jamaa nimekutana nae junk mdogo anaendesha hizi land rover sometimes hummer hua ni nani? Anaonekana kama muha muba hivi, kuna siku tumekutana bank ana mafungu ya hela za 10,000 kama sio bilioni basi zaidi..maana zilikua rambo kubwa kama 5 hivi zimejaa jamaa mdgo sidhani kama amefikisha 30
 
Jamaa anitwa Zongiiii anapesa mingi sana yule
 
Pharmacy zake zinaitwa kayonza pharmacy. Mrs kashaga bado anaendeleza business kama kawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…