maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,505
- 6,440
Vipi Lugumi umemsahau?Nilipotua mwanza mara ya kwanza nilipapenda mno,hasa kutokana na usafi,na usheshi wa watu wake,Jiji hili lilikua limetulia siku hiyo ya Jumapili,na ambacho sikukijua,ni kwamba Mwanza kuna Mabilionea wengi kuliko nilivyofikiri,wengi wakiwa wasukuma na Wachaga,Hawa wachaga,ni Wamachame na wasiha....
Source of income ilikua Uvuvi,Biashara ya Spea na Usafirishaji,wasukuma wamebase kwenye uvuvi na madini,na wachaga wamebase kwenye biashara za maduka,vipuli na usafirishaji hasa wa vyakula ambavyo viko kwa wingi...hawaingiliani,na wanaheshimiana,kwenye biashara ya hardware kubwa wamekamata wahindi....
Ukiangalia kwa umakini utagundua matajiri wengi wa Mwanza hawajulikani hapa nchini,na wanaojulikana ni wachache wanaoishi dar....
Wana sifa Moja,wakimya na wana heshima....acha mbwembwe zote za kisukuma...pia wana ubinadamu,sio kama matajiri wetu wa dar.
Tatizo lao ukiwazingua wanakuzingua kweli....kuua kwao si ishu sana
Kwenye uzi huu,naomba watu wa mwanza mnisaidie kuwaongeza mabilionea hawa na wasifu wao,kazi na aina ya kazi anayofanya....maana kwenye uzi wa wababe wa arusha mlilalamika mno.
1. Gachuma-CocaCola
2.Mwanza Huduma-Hardware and acesories
3.Texas-Hardware
4.Gitana-Uvuvi
5.La kairo-Hotel,Foods and Hospitality
6.......
7.......
cc.fisadikuu
Sahara Media Group ilianza vizuri kwa coverage nzuri na Vipindi kiasi Vizuri ila of recent imekuwa stagnant, no innovative ideas, there is a lot of monotony na imeshidwa kabisa kuwa na employee retention program. If it goes on like this...... it will close down6. Antony Diallo-Sahara Media Group
Ha ha haPia wachovu sana ndo maana wapo silence. kama hata mwenye hardware ni bilionea basi na wale walima maua wa Arusha tuwaingize kwenye list
namjua mwita chacha gachuma tu.................Nilipotua mwanza mara ya kwanza nilipapenda mno,hasa kutokana na usafi,na usheshi wa watu wake,Jiji hili lilikua limetulia siku hiyo ya Jumapili,na ambacho sikukijua,ni kwamba Mwanza kuna Mabilionea wengi kuliko nilivyofikiri,wengi wakiwa wasukuma na Wachaga,Hawa wachaga,ni Wamachame na wasiha....
Source of income ilikua Uvuvi,Biashara ya Spea na Usafirishaji,wasukuma wamebase kwenye uvuvi na madini,na wachaga wamebase kwenye biashara za maduka,vipuli na usafirishaji hasa wa vyakula ambavyo viko kwa wingi...hawaingiliani,na wanaheshimiana,kwenye biashara ya hardware kubwa wamekamata wahindi....
Ukiangalia kwa umakini utagundua matajiri wengi wa Mwanza hawajulikani hapa nchini,na wanaojulikana ni wachache wanaoishi dar....
Wana sifa Moja,wakimya na wana heshima....acha mbwembwe zote za kisukuma...pia wana ubinadamu,sio kama matajiri wetu wa dar.
Tatizo lao ukiwazingua wanakuzingua kweli....kuua kwao si ishu sana
Kwenye uzi huu,naomba watu wa mwanza mnisaidie kuwaongeza mabilionea hawa na wasifu wao,kazi na aina ya kazi anayofanya....maana kwenye uzi wa wababe wa arusha mlilalamika mno.
1. Gachuma-CocaCola
2.Mwanza Huduma-Hardware and acesories
3.Texas-Hardware
4.Gitana-Uvuvi
5.La kairo-Hotel,Foods and Hospitality
6.......
7.......
cc.fisadikuu
Wataongezeka mkuu hata arusha na Ms tulianza na watu watanoMwanza mbna list ndogo ivo asee
Si aliamia Dar es Salaam? Pia kumbuka alivyotoka Mwanza kilikuwa hakijaeleweka na alikuwa hata hajaoa.Vipi Lugumi umemsahau?
NI WA MWANZA KUMBE KWAKWELI HAPO HAKUNA KESISi aliamia Dar es Salaam? Pia kumbuka alivyotoka Mwanza kilikuwa hakijaeleweka na alikuwa hata hajaoa.
HAHAHAHAHA LOL YE NI MWANAUME WA DAR BHANA NA NDO ALOWARITHISHA WANAUME WA DAR KUDISCUSS MASUPERSTARShigongo