amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
mwenzangu ndo ivo,huwa nakutana nao sana ila nina ile mentality kuwa huyu anataka kula chini na kusepa tuHahaaaa!!!! Oldschool
mwenzangu ndo ivo,huwa nakutana nao sana ila nina ile mentality kuwa huyu anataka kula chini na kusepa tuHahaaaa!!!! Oldschool
Hiyo inaitwa comparative premises in reasoningNdevu tu ziko hivyo, mavuzi je?
Well said walahiKwa hiyo kwa maoni yako wameonewa? Na kama ni hivyo kwa nini hawashindi kesi Mahakamani? Isitoshe kama ni chuki dhidi ya matajiri kama ulivyoiita kwa nini wao tu? Mbona Mengi, Bakhresa, Dewji, au hata Fisadi Lowasa hawako Jela?
Yeuwii
AminaMwenye Enzi Mungu naomba unifundishe kuwa na kiasi nisije nikakufukuru na usinipe umaskini nisije nikakutukana walahi
Kaamua kulipiga bisibisi mwenyewe ndiyo maana amepururuka.Vipi puto lilifanikiwa kutolewa tumboni....
Sijui ulikuwa unawaza nini hadi hilo swali?Ndevu tu ziko hivyo, mavuzi je?
Leo kwake kesho kwako, Nilishawahi sema sitokuja kwenda jela….juzi juzi mtu kaibiwa laptop ya bei ghari kwenye nyumba ninayopanga, wamekuja police kutusomba usiku nyumba nzima kituoni, tukakaa huko mpaka saa saba ndo kutoka kwa dhamana. So tuwaombee mema kwa sababu hata tukiwaombea mabaya ili hali nasi tu wabaya kwa mambo mengine haitotusaidia chochote.Ruge kafanana na Saddam Hussein kipindi yuko mafichoni akitafutwa na USA
Na wameipataKweli wanapata tabu sana
Bado hujawahi kwenda jelaLeo kwake kesho kwako, Nilishawahi sema sitokuja kwenda jela….juzi juzi mtu kaibiwa laptop ya bei ghari kwenye nyumba ninayopanga, wamekuja police kutusomba usiku nyumba nzima kituoni, tukakaa huko mpaka saa saba ndo kutoka kwa dhamana. So tuwaombee mema kwa sababu hata tukiwaombea mabaya ili hali nasi tu wabaya kwa mambo mengine haitotusaidia chochote.