Mabilionea Kanda ya Kati ni shida

peter fashion ni mkaskazini..

Boss Ngasa toka Matei afaraki hakuna cha bata wala nini amebaki yeye na blog yake tu.
 
Inawezekana dom hapajuh vzur
 

...ulikuwa masikini sasa unaelekea kuwa fukara.....
 
Kwa vigezo unavyovitumia na mimi nisipokua makini nitakua miongoni mwa hao matajiri
Kuwa makini mkuu hawakawii kukuunganisha, Mi mwenyewe kidigo niwemo kwenye list ya matajiri wa kanda ya ziwa nikawastukia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mbona hamuwataji hao matajir wenu wa arusha au hawana majina
 
WANACHOTUZIDI DODOMA NI UTAJIRI WA KUWA NA VIPOFU WENGI
 
Aha ha haa hata wao hao jamaa wananijua sana had huwa wanaombwa uzi ufungwe maana dude huwa naliamisha kweli kweli
Hahaha ha ha aisee kweli kabsaa mimi huwa na check mtanange huku Nakula popcorn full kucheka yaani ebu anzisha uzi mwingne aisee kule
 
Hahaha ha ha aisee kweli kabsaa mimi huwa na check mtanange huku Nakula popcorn full kucheka yaani ebu anzisha uzi mwingne aisee kule
Sawa mkuu kesho jumamos niko free siend job nitakinukisha
 
Boss ngasa ndio kitu gani? ni nani na anamiliki nini? blog? umemsahau le mbululaz pale dom.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…