Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,938
Aisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,
Ni watu ambao wanamiliki mkwanjwa wa adabu lakin jamaa hawana mbwembwe nyingi kama za wasukuma na wachaga za kutembelea hama na gari zilizoandikwa plate number za majina yao na ni wakimia baraa hawa watu ni shida
Nakutajia baadhi yao tu
A bhanji
B boss ngasa
C peter fasion
D kifimba na kimbinyiko
Nawasilisha chalenge za matajiri wa pande uko uliko zinaruhusiwa hata kama ukiwaweka hapa ni sawa tu
Matajiri wa Dodoma michosho,wanashinda kutwa wamevaa ndala na madaso,utajiri gani wa hivyo...!!Aisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,
Ni watu ambao wanamiliki mkwanjwa wa adabu lakin jamaa hawana mbwembwe nyingi kama za wasukuma na wachaga za kutembelea hama na gari zilizoandikwa plate number za majina yao na ni wakimia baraa hawa watu ni shida
Nakutajia baadhi yao tu
A bhanji
B boss ngasa
C peter fasion
D kifimba na kimbinyiko
Nawasilisha chalenge za matajiri wa pande uko uliko zinaruhusiwa hata kama ukiwaweka hapa ni sawa tu
Mkuu vp wale rafik zako ambao hawali kitimoto mshapatana nao??Vijana wenye chuki utawajua tu lakin sishangai yote hayo ni kwa ajili ya maisha magumu
Hao uliowataja wengine ni Wachaga mimi nipo dodoma huu mwaka wangu wa 13Picha ya nini mkuu
YesHuyu kimbinyiko ndo mmiliki wa yale magar ya [kimbinyo] yanayoenda dodoma
Yeah kwa mkoa wa domBoss ngasa nae ni bilionea????
Buku saba lumumba fc mwenzako huyoLe MutuZ le Bilionea nae si anatokea iDodomya?
Mbona unataja wa kwenu tu mkuu
jamaa ana utani kweli kweli boss ngasa bilionea...??? sijawahi kuona bilionea anatembelea pikipiki SAN LGUpo wrong mkuu,,hapo ambe upo sahihi ni bhanji tuu,,hao wengine wote makanjanja,,huyo boss ngasa hamna kitu,huyo kifimbo nakaa nae mtaa mmoja kilimani,peter fashion hawez mfikia hata masanja mkandamizaji,,,,sasa nakupa list ya wachache ninaowafahamu
1…Bhanji
2…maneno
3…shabiby
4…saldina