Mabilionea Kanda ya Kati ni shida

Nimeliona jina langu kwenye hiyo list nani kakwambia mimi ni bilionea usije fanya TRA waanze kuniletea matejo.
 
Kwenye maelezo yako mkuu kwa heshima na taadhima nakuomba uondoe maneno (Kanda ya Kaskazini) tafadhali.... Usilinganishe vitu vya kijinga na (URN) United Republic of North..... Ambapo ni nchi inayo jitengemea... Ndani yake kuna majiji kama Moshi na Arusha.....
 
Hao uliowataja kwa asili sio wa Dodoma hao wa kuja wote hapo, asili ya majina yao ni huko unakopakataa,. Huko Dodoma wamekuja kuchuma tuu.
 
Umewasahau Consolata Daudi Mallya, TAKAWEDO, Kidia Vision, City Boy, Mshewe, Mselia (alijipiga risasi ishu ya viroba), perugina, Mmiliki wa Okaoni Hotel, na wote ni WACHAGGA, Kanda ya Kaskazini
 
Mosh kumbe ni jiji mkuu
 
Hao uliowataja kwa asili sio wa Dodoma hao wa kuja wote hapo, asili ya majina yao ni huko unakopakataa,. Huko Dodoma wamekuja kuchuma tuu.
Hebu nambie ni wawapi hao
 
Hao njaa kali tu tajiri anamabasi ...kweli dom kuna matajiri
 
Umewasahau Consolata Daudi Mallya, TAKAWEDO, Kidia Vision, City Boy, Mshewe, Mselia (alijipiga risasi ishu ya viroba), perugina, Mmiliki wa Okaoni Hotel, na wote ni WACHAGGA, Kanda ya Kaskazini
Mbona unataja wa kwenu tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…