Platnum Venance
Member
- Oct 23, 2012
- 6
- 2
Hivi hili suala la wasanii wa kike kutoelewana unalichukuliaje kwa 7bu naona kila siku wanapigana madongo EATV mara Snura na Wema hawaelewani ooh sijui Shilole na Flora Mvungi mmm haya bwana eti na sisi tunawaita vioo vya jamii mimi hapana kabxa hapo......nachowashauri WAACHE MABIFU NA KUTOELEWANA SISI SOTE NI WATANZANIA.....