Mabibo! Mabibo! Mabibo.....

hili kiss nilikufundisha sema haukumalizia, si nilikuambia umbusu.. Mwwaaaaaaaaaaa my love Bishanga, sikunyingine usirudie makosa utaachwa atii!!!

Unajifanya unafundisha kumbe unamkiss kishikaji tena unamwita my love tobaaaaaa.
 
Last edited by a moderator:
Mwambie basi kiwatengu atulizane asije akakuletea mtoto wa nje

mi sina wasiwasi acha avinjari si vibaya kuona vya nje kidogo maana najua my dear kiwatengu
akitoka dushelele huwa haifanyi kazi so si rahisi kuleta mtoto.
niliaga kwetu wewe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…