Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Kuna nini huko?au fumanizi safarii sikubali kukosa bora nigeuziwe kibao kuwa nimefumaniwa kuliko.kumis tukio
mke wangu The secretary!
Rabeka kipenzi ni mtaa wa kule MMU kuna mtu anataka kwenda kufumania
Aha wapi wanaigiza tu mapenzi ni yangu na Bishanga hawa wengine ni mazingaombwe tu
Du....!
Mabaibo...hahahahaNikajua Mabibo 'mabible' Hostel...