Ulipokuwa mdogo ulikuwa hutaki kuchapwa na ulitaman mkubwa wa mzazi wako atokee akutetee, sasa mwanae nae yupo kama wewe ila inatokea kakuzid bahati yeye ana bibi lazima atetewe kama wewe ulivotamani, Hii inaitwa malipo ni hapa duniani.
La pili, asipomtetea atamtuma nani kwenye vi ishu vya kijinga kama kaniletee hiki au kile, kwahyo akimtetea anajenga urafiki na mtoto, ila sio sawa