Aisee! Hivi kumbe kulikuwa na kitchen party hapa!! Daah nimepitwa na vyuuku!!
Pole siku nyingine tutawahi kukualika
yani we acha nilikuwa huko zoga urore nachoma mkaa c unajua tena mwanamke ujasiriamali ckuhizi mweeh! Haki ya nani ya kwako unialike ujue!!
Haswaa hilo ndio jambo la msingi!
Kwenye seating plan nitaweka sehemu ya wana JF kwa hadhi zao
Kaka, dada, Mama, baba, babu etc!
hahahaaaaaaaa yangu ishapita.siku nyingine nitakuweka updated
Hahahaaaaa.....
Mwanamke mibinjuko Mdogo Wangu.
Mwanamke kum-binjukia bwana.
Japo kuna msemo wetu tunakwambia "nitanyongesha na kubinjuka nionapo chapaa mezani"....kwani kodi ya meza unayoachiwa sio chapaa!!!!
Warereeeeeeeeeeee........
Hivi mtu ambaye hajaolewa anaweza kuwa kungwi wa kumfunda mtu anayejiandaa kuingia kwenye ndoa? Tuna changamoto kubwa sana, badala ya sherehe kuwa ya kufundishana imegeuka kuwa ya kutafuta zawadi na umbea. Tunahitaji kujitafakari kwenye hizi resource tunazozipoteza. Kama hizi sherehe zinafanyika inavyotakiwa kwanini waliofunga ndoa za kanisani na sherehe za ukumbini wanaachana sana kuliko sie tunaokutana tunapeleka mbuzi ukweni na kuendelea kuzaa? Why?