mabibi na mabwana karibuni kwenye kitchen party ya YNNAH!!!!!

aaaa mzungu huyo kaingia aaaa jamani kipedo na kitchenparty inahuuu???embu tupishe huko,subiri mda wa msosi ule tupo busy wenzie we endelea kuturekodi na mgalaxy wako ladydoctor ukumbi wake ila usimwage radhi ndo maana ya shughuli mzuka ukipanda ni kujiachia

Hahahaha...naomba upande wa khanga shosti...niliittwa ghafla nikatoka nje,lol
 
Biibi wee shurti ukenda kwa mumeo cha kwanza usafi...umpeti mume..upende ndugu zako

Kachelewa kidogo umenuna...ahhhh hiyo hakunaga,mwambie mume wangu pole...kakoge, karibu chakula ndipo umulize

Matumizi ya kiuno na mike kayaongelea vizuri wifi yangu Madame B,ndo uitumie cone ipasavyo eee

Mume ahitaji kukandwa bibi ee....sio mwili umepooa full time...mtoto wa kike shurt uwe na joto muda wote

Chumbani hakuingii mashost,mwisho hukoo barazani

Sio ooh jana mbuzi kagoma sijui vipi weee hiyo siri yenu

Mabusu kedekede yanahusika mamaa
 
Last edited by a moderator:
umeonaeeeee.... Mambo yote 6*6, mwanamke kujishughulisha jamani mpaka mume aseme SHKAMOO MKE WANGU

sosi Arushaone

Ndo mana yakeeee......
Maji aite mma na ubwabwa aite ubaba.
Chezea nyonga teketeke weyeeeee.....
 
Last edited by a moderator:
duuuh hapa hata mie natega sikio

Hahaha DEMBA.....
Mwanamke shurti utoe kilio cha mahaba kunako mchezoni.....sio bwana kamaliza ujuzi wake wooote.....wewe unagugumia ndani tu.
Kama wataka kulia, lia.
Kama wajisikia kufika kileleni wewe pasua wingu.

Mhhhh!!!!..... DEMBA, ninakoelekea hakufai.
Ngoja niishie hapa.
 
Last edited by a moderator:
Biibi wee shurti ukenda kwa mumeo cha kwanza usafi...umpeti mume..upende ndugu zako

Kachelewa kidogo umenuna...ahhhh hiyo hakunaga,mwambie mume wangu pole...kakoge, karibu chakula ndipo umulize

Matumizi ya kiuno na mike kayaongelea vizuri wifi yangu Madame B,ndo uitumie cone ipasavyo eee

Mume ahitaji kukandwa bibi ee....sio mwili umepooa full time...mtoto wa kike shurt uwe na joto muda wote

Chumbani hakuingii mashost,mwisho hukoo barazani

Sio ooh jana mbuzi kagoma sijui vipi weee hiyo siri yenu

Mabusu kedekede yanahusika mamaa

Arerererereeerereeeeee (vigelegele)
 
Last edited by a moderator:
Kuongea tu vitendo chali...chafyaaa

uliitwa???huoni Madame B hapo anavyoonyesha vitendo??? Au ndo genye tayari hata macho hayaoni??
Poleeeeeeeee.
Gere mama gere mama unatuonea gere utautwanga mtama uubie mwenyewe.
Dau lako la mia wataka elfu nne,kitenge umeunguza mwenyewe anakitakaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hahaha DEMBA.....
Mwanamke shurti utoe kilio cha mahaba kunako mchezoni.....sio bwana kamaliza ujuzi wake wooote.....wewe unagugumia ndani tu.
Kama wataka kulia, lia.
Kama wajisikia kufika kileleni wewe pasua wingu.

Mhhhh!!!!..... DEMBA, ninakoelekea hakufai.
Ngoja niishie hapa.

kwa maujuzi haya nikiachwa kuna mkono wa mtu. wacha sasa nikatekeleze nilichojifunza.
 
Last edited by a moderator:
Biibi wee shurti ukenda kwa mumeo cha kwanza usafi...umpeti mume..upende ndugu zako

Kachelewa kidogo umenuna...ahhhh hiyo hakunaga,mwambie mume wangu pole...kakoge, karibu chakula ndipo umulize

Matumizi ya kiuno na mike kayaongelea vizuri wifi yangu Madame B,ndo uitumie cone ipasavyo eee

Mume ahitaji kukandwa bibi ee....sio mwili umepooa full time...mtoto wa kike shurt uwe na joto muda wote

Chumbani hakuingii mashost,mwisho hukoo barazani

Sio ooh jana mbuzi kagoma sijui vipi weee hiyo siri yenu

Mabusu kedekede yanahusika mamaa

mumeo Erickb52 ndio unamfanyiaga yote haya? mbona anatangatanga sana?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom