Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
Lady doctor hebu njoo PM nina dharurahebu mwambie Chocs akavue kipyedo chake nimpe khanga alaaaah na lazima akalie kibao cha mbuzi leo
Last edited by a moderator:
Lady doctor hebu njoo PM nina dharurahebu mwambie Chocs akavue kipyedo chake nimpe khanga alaaaah na lazima akalie kibao cha mbuzi leo
na akune nazi itoke nyembamba na kiuno akilegeze siyo akune kwa kwa kwa kwa mpaka wakina ladyfurahia mtaa wa saba wasikie
Lady doctor hebu njoo PM nina dharura
Lady doctor hebu njoo PM nina dharura
nakulavyuuuuuu sanaaaa my wiiii
mwaaaah.....................sasa makange ntapata! afu kakio kasafiri leo nipo mwenyeeeewe!!! rahajeeee!
cc sosoliso babe niletee halua na ubuyu...........
Arushaone wangu hanaga noumer yule, wacha tujimwaemwae my wii, mie mzuksssss umeshapanda atii
halooooooh amu mwambie mdogo wetu huyu mwanaume ni kama mtoto. na mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, kwenye huzuni mbembeleze akiwa na hasira we mpetipet.
na akune nazi itoke nyembamba na kiuno akilegeze siyo akune kwa kwa kwa kwa mpaka wakina ladyfurahia mtaa wa saba wasikie
Mzuka wangu ukinipanda hata nguo ntavua..........nakuona tu wii langu la ukweli
raha tujipe wenyewe tukisubiri kupewa itakula kwetu
hivi baby ulishawahi kutolewa manundu, watu tupo kwenye shughuli unatuingiliaingilia tu.
we Heaven on Earth siku hizi unatumia miwani ya mbao au?
mwambie mumeo huyo watu tunataka kusasambua hapa ye anapenyeza mijicho yake, tutamtoboa
halafu nimesikia anakuita kunako pm. mnafanyaga nini pm na mume wangu? maana nisije nikaharibu shughuli bure hapa
we Heaven on Earth siku hizi unatumia miwani ya mbao au?
ndo unakuja sa hivi wakati home umeaga tangu asubuhi
kuwa umekuja huku au ulikuwa kwa .................