mabibi na mabwana karibuni kwenye kitchen party ya YNNAH!!!!!

mabibi na mabwana karibuni kwenye kitchen party ya YNNAH!!!!!

Paloma bado hujamkabidhi mwali zawadi yake
 
Last edited by a moderator:
YNNAH usisikilize mikorumbembe ya mji huu mara ooo shabu,bia kachumbari disc mara maji wamama wa kihaya jamani hiyo mwenzake maji tuuuuu umemaliza kila kitu.
Mwanamwali uwanja wa fundi seremala usiuonee aibu biringita uwezavo,pepeta kila kona twanga vikatwangika mwanamke matendo siyo ukijisikia oooo nataka ku,,,,,,,,,, simalizii we matendo tu mpapase vinavyopapasika imbaaaaaaa weeeeee mambo yatatiki.
Mwanamwali sokotora unyago usokotore haswaaa
 
Last edited by a moderator:
shosti huna la kuongezea??au unataka bibie asikae??mwite shansharie ladydoctor namuona yupo busy na vitu vya mabibo wine

hahahahaaa!!!!!!!!!

Chereko! Chereko! Mlemela chereko ni msai,

chereko kinamwile chereko Oooooh mame!!!!!!!

Mwenye robo kaja mkumbatie
mwenye robo kaja mkumbatie

~hongera mwaya kivyelengwa YNNAH chakuombea maisha yedi, ukaishi vyedi na mgosio,
usekumbela mgosio, ukamuheshimu mgosio.

MNUNGU AKUSAIDIE!!!!!!

aaaagggggrrrrrrrhhhhh pombe ikipanda kichwani full kiingilishi mwenzenu.

Yaani hapa NAMONG'OLA MONG'OMONG'O!!!

Waaaapi wandele wa kizigulaa????? Heaven on Earth hebu nishikie chupa yangu nikatike vizuri aaaaaiiiiiiiiiiii!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
wii wangu Lady doctor naona mzuka umekupanda hadi mwisho

hizo chupa kuwa nazo makin usijeenda kutolewa manundu na shem wangu huko
 
Last edited by a moderator:
wii wangu pole jamani.........we unahitaji special treatment for sure

ngoja wii wako nikufanyie mambo

nakulavyuuuuuu sanaaaa my wiiii
mwaaaah.....................sasa makange ntapata! afu kakio kasafiri leo nipo mwenyeeeewe!!! rahajeeee!
cc sosoliso babe niletee halua na ubuyu...........
 
Last edited by a moderator:
Dia kuna nini tena...mbona kama mipasho vilee!!

aaaa mzungu huyo kaingia aaaa jamani kipedo na kitchenparty inahuuu???embu tupishe huko,subiri mda wa msosi ule tupo busy wenzie we endelea kuturekodi na mgalaxy wako ladydoctor ukumbi wake ila usimwage radhi ndo maana ya shughuli mzuka ukipanda ni kujiachia
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaa!!!!!!!!!

Chereko! Chereko! Mlemela chereko ni msai,

chereko kinamwile chereko Oooooh mame!!!!!!!

Mwenye robo kaja mkumbatie
mwenye robo kaja mkumbatie

~hongera mwaya kivyelengwa YNNAH chakuombea maisha yedi, ukaishi vyedi na mgosio,
usekumbela mgosio, ukamuheshimu mgosio.

MNUNGU AKUSAIDIE!!!!!!

aaaagggggrrrrrrrhhhhh pombe ikipanda kichwani full kiingilishi mwenzenu.

Yaani hapa NAMONG'OLA MONG'OMONG'O!!!

Waaaapi wandele wa kizigulaa????? Heaven on Earth hebu nishikie chupa yangu nikatike vizuri aaaaaiiiiiiiiiiii!!!!!!!


yeeeeeuuuuuuuwiii
umenikumbua aho msambiaziiiiii.............oooh maaaame!
 
aaaa mzungu huyo kaingia aaaa jamani kipedo na kitchenparty inahuuu???embu tupishe huko,subiri mda wa msosi ule tupo busy wenzie we endelea kuturekodi na mgalaxy wako ladydoctor ukumbi wake ila usimwage radhi ndo maana ya shughuli mzuka ukipanda ni kujiachia

hebu mwambie Chocs akavue kipyedo chake nimpe khanga alaaaah na lazima akalie kibao cha mbuzi leo
 
Last edited by a moderator:
amu zawadi zajaaaaaa

ngoja kwanza tule tushibe manake kusasambua si kazi ndogo.............
 
Last edited by a moderator:
hebu mwambie Chocs akavue kipyedo chake nimpe khanga alaaaah na lazima akalie kibao cha mbuzi leo

na akune nazi itoke nyembamba na kiuno akilegeze siyo akune kwa kwa kwa kwa mpaka wakina ladyfurahia mtaa wa saba wasikie
 
Last edited by a moderator:
amu zawadi zajaaaaaa

ngoja kwanza tule tushibe manake kusasambua si kazi ndogo.............

basi muongoze mwali wako mkatabaruku tuendelee na ratiba
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom