Mabere Marando ni nani?

likizo
 
Mmmaa!!! wajuvi njooni mtumegee japo kwa mbali sasa mbona kimya??
 
Marando hakuwahi kurudi CCM
Marando hakurudi CCM, alifukuzwa Ushushushu baada ya kuonekana hana kadi ya Tanu enzi hizo, akakosana na Nyerere ambaye aliamuru asipewe kazi popote. Alipojiunga na shirika la wanasheria nako alitimuliwa.
 
Ni mdg wake mabere makubi
 
Duh bhebhe ngosha mbona unashukaga nondo zamanguvu hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maswali hayana umuhimu wowote ktk ujenzi wa Taifa . Tuchape kazi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…